Uncle Michuzi naomba saana naomba uniwekee hili Tangazo langu kwenye Blog Taifa.

Watanzania Milan mimi ni Mtanzania niliyefika hapa Milan mwezi mmoja uliopita, kutokana na ugeni wangu sijafanikiwa kukutana na Mtanzania yeyote hapa. Ningependa saana kuwafahamu na kukutana watanzania wenzangu waishio hapa Milan.
 Tafadhari tufahamiane jamani!

Napatikana katika Email hii: mikumi95@yahoo.com

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. Mtafute CHIBILITI. Muulize huyohuyo Michuzi ana kontakts zake.

    Siku hizi haonekani humu Bulogini sijui yuko wapi?!?

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 22, 2011

    CHIBI si alioa mmesahau wadau?? raha ya kuoa ni kupotea ila mtafutetafute atakusaidia hata mie kweli nimemisi bloguni

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 22, 2011

    ebwanae tumemmisi Chibiliti..wapi mzee wa Napoli???hahahaha..toka aoe naona anakula mahanjumati tu. blog ya ankal imewekwa kando. ankal fanya fanya basi umpe huyu kijana contact za chibs manake inaonekana ni mpweke huko Milan

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 22, 2011

    jamani kweli CHIBILITI kapotea humu sana alikua akinipa raha sana yule kaka,ankal km kweli una contact zake mwambie siku moja moja awe anapita pita basi humu.

    ReplyDelete
  5. AnonymousJune 22, 2011

    Jamani ndugu yetu ana hitaji contacts za watanzania milan! asaidiwe na si kuligeuza tangazo lake kijiwe cha kumjadili chibiliti!!

    ReplyDelete
  6. AnonymousJune 23, 2011

    Nawashangaa chibiliti chibiliti, wadau mliopo Milan contact zenu zinahitajika na M-TZ mwenzenu

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...