Uncle Michuzi naomba saana naomba uniwekee hili Tangazo langu kwenye Blog Taifa.
Watanzania Milan mimi ni Mtanzania niliyefika hapa Milan mwezi mmoja uliopita, kutokana na ugeni wangu sijafanikiwa kukutana na Mtanzania yeyote hapa. Ningependa saana kuwafahamu na kukutana watanzania wenzangu waishio hapa Milan.
Tafadhari tufahamiane jamani!
Napatikana katika Email hii: mikumi95@yahoo.com
Mtafute CHIBILITI. Muulize huyohuyo Michuzi ana kontakts zake.
ReplyDeleteSiku hizi haonekani humu Bulogini sijui yuko wapi?!?
CHIBI si alioa mmesahau wadau?? raha ya kuoa ni kupotea ila mtafutetafute atakusaidia hata mie kweli nimemisi bloguni
ReplyDeleteebwanae tumemmisi Chibiliti..wapi mzee wa Napoli???hahahaha..toka aoe naona anakula mahanjumati tu. blog ya ankal imewekwa kando. ankal fanya fanya basi umpe huyu kijana contact za chibs manake inaonekana ni mpweke huko Milan
ReplyDeletejamani kweli CHIBILITI kapotea humu sana alikua akinipa raha sana yule kaka,ankal km kweli una contact zake mwambie siku moja moja awe anapita pita basi humu.
ReplyDeleteJamani ndugu yetu ana hitaji contacts za watanzania milan! asaidiwe na si kuligeuza tangazo lake kijiwe cha kumjadili chibiliti!!
ReplyDeleteNawashangaa chibiliti chibiliti, wadau mliopo Milan contact zenu zinahitajika na M-TZ mwenzenu
ReplyDelete