Kijana Ahmed ambaye yuko kitandani toka
mwaka 2008 kwa kupooza mwili mzima.

Assalam alaikum 
Kaka naomba umsaidie huyu kijana kuweka hili tangazo lake na kama una watu unawajua personally unaoweza kuongea nao. Kwa kweli anasikitisha na he really needs help. Hadi sasa  amefanikiwa ku-collect 20 mil hapo anahitaji 23 mil more and his ticket ili aende Ujerumani kupata matibabu ya kupooza mwili mzima baada ya ajali huko Tanga tangia mwaka 2008.
Mdau Tanga

Kusoma kisa kamili cha Ahmed

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 17, 2011

    OMG! Please God help him..I know how he feels.when in trouble and no means to solve them.when sick na hauna jinsi. I have been through the same.please, a call to every one.even 10000 counts.you will be alright one time inshlh

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 17, 2011

    pole sana ahmedi,
    sasa mdau huyu ahmedi tukitaka kumsaidia tutamsaidia vipi??
    Habari kama hizi zinahitaji full info kama zile account ya benk au SMS number ambayo watu watachangia kutokana na uwezo wao. lasivyo itakuwa ni kujaza blog na kusema masikini wee...!!
    sasa weka details basi!

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 17, 2011

    nakubaliana na mdau wa juu hapo. tupewe details. M-PESA isikosekane maana ni rahisi kutuma japo kidogokidogo..utapona tu. mi niliumwa nikaenda hosp abroad kwa huruma za watu. you will too

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 17, 2011

    Pole sana Ahmedi mwanangu, Mungu anaona shida yako na anakupenda sana kuliko unavyofikiria licha ya shida uliyokuwa nayo kwa sasa. Mungu mkubwa utapata hela inayotakiwa na utakwenda kwa uwezo wake mola, inshalh utapona!

    ReplyDelete
  5. AnonymousJune 17, 2011

    ...vipi mmeshajaribu option ya kumpeleka Appolo hospitals India? Ni bei nafuu kidogo huko halafu ni mabingwa pia, Pia Ubalozi wa India huwa unasaidia sana katika masuala kama haya....

    ReplyDelete
  6. AnonymousJune 17, 2011

    EXIM BANK (TANZANIA) LTD
    TANGA BRANCH
    Account name : AHMED ABDULRAHMAN AND ALWIYA AHMED
    Account number: 575981920
    naitwa ahmed abdulrahman sheikh ni muhusika wa hio story hapo juu.
    nashkuru sana kwa kunisuport na nahitaji sana michango yenu ili kufanikisha matibabu ambayo inagharimu million arobaini na tatu Tshs. (43,000,000)
    namba yangu ya simu ni 0715681380

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...