![]() |
Kijana Ahmed ambaye yuko kitandani toka mwaka 2008 kwa kupooza mwili mzima. |
Assalam alaikum
Kaka naomba umsaidie huyu kijana kuweka hili tangazo lake na kama una watu unawajua personally unaoweza kuongea nao. Kwa kweli anasikitisha na he really needs help. Hadi sasa amefanikiwa ku-collect 20 mil hapo anahitaji 23 mil more and his ticket ili aende Ujerumani kupata matibabu ya kupooza mwili mzima baada ya ajali huko Tanga tangia mwaka 2008.
Mdau Tanga
Kusoma kisa kamili cha Ahmed
OMG! Please God help him..I know how he feels.when in trouble and no means to solve them.when sick na hauna jinsi. I have been through the same.please, a call to every one.even 10000 counts.you will be alright one time inshlh
ReplyDeletepole sana ahmedi,
ReplyDeletesasa mdau huyu ahmedi tukitaka kumsaidia tutamsaidia vipi??
Habari kama hizi zinahitaji full info kama zile account ya benk au SMS number ambayo watu watachangia kutokana na uwezo wao. lasivyo itakuwa ni kujaza blog na kusema masikini wee...!!
sasa weka details basi!
nakubaliana na mdau wa juu hapo. tupewe details. M-PESA isikosekane maana ni rahisi kutuma japo kidogokidogo..utapona tu. mi niliumwa nikaenda hosp abroad kwa huruma za watu. you will too
ReplyDeletePole sana Ahmedi mwanangu, Mungu anaona shida yako na anakupenda sana kuliko unavyofikiria licha ya shida uliyokuwa nayo kwa sasa. Mungu mkubwa utapata hela inayotakiwa na utakwenda kwa uwezo wake mola, inshalh utapona!
ReplyDelete...vipi mmeshajaribu option ya kumpeleka Appolo hospitals India? Ni bei nafuu kidogo huko halafu ni mabingwa pia, Pia Ubalozi wa India huwa unasaidia sana katika masuala kama haya....
ReplyDeleteEXIM BANK (TANZANIA) LTD
ReplyDeleteTANGA BRANCH
Account name : AHMED ABDULRAHMAN AND ALWIYA AHMED
Account number: 575981920
naitwa ahmed abdulrahman sheikh ni muhusika wa hio story hapo juu.
nashkuru sana kwa kunisuport na nahitaji sana michango yenu ili kufanikisha matibabu ambayo inagharimu million arobaini na tatu Tshs. (43,000,000)
namba yangu ya simu ni 0715681380