Waziri Mkuu Mh. Mizengo Pinda akisalimiana na Mwakilishi Mkazi wa Shirika la Chakula Duniani (WFP), Bw. Ronald Sibanda ambaye alikwenda kuaga ,baada ya kumaliza muda wake wa kazi Bungeni Mjini Dodoma leo
Waziri Mkuu Mh. Mizengo Pinda akizungumza na Mwakilishi Mkazi wa Shirika la Chakula Duniani (WFP), Bw. Ronald Sibanda
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...