Mh. Peter Msigwa (CHADEMA)

Mh. Juma Nkamia (CCM)
Wabunge Juma Nkamia wa CCM na Mchungaji Peter Msigwa wa CHADEMA walumbana katika "Hoja kwa Hoja" kuhusu posho za wabunge. Mjadala kamili utakuwa katika mtandao wa www.voaswahili.com Jumapili June 26

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 23, 2011

    Nitafuatilia kwa makini mdahalo huu, wasiwasi wangu ni Mhe Nkamia kutoka nje ya mada...mara nyingi anaongea kwa jazba.

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 23, 2011

    Hizi mada nyingine ni kuharibiana sifa, Nafikiri Nkamia atakuwa anawakilisha Kundi la wanaokubaliana na Posho jambo ambalo wengi wanaogopa kusema hadharani kwamba liendelee. Hapo ndipo wananchi wake hawatamuelewa kabisa na kujishushia umaarufu wa kutaka Posho ilihari wananchi wake hali ngumu.., Tafakari kabla hujaenda Nkamia

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 23, 2011

    du amakweli nchi yetu inawabunge kama mh wa juu hafanani kabisa

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 24, 2011

    Jamani naombeni kujua sifa za ubunge maana mhhhh, hicho kipindi kitakuwa babukubwa.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...