Waziri wa Viwanda,  Biashara  na Masoko, Dr. Cyril Chami (kushoto) akizungumza na baadhi ya waigizaji wa filamu nchini kwenye  viwanja vya Bunge Mjini Dodoma leo.Kulia ni Mbunge wa Viti Maalum, Vicky Kamata.
Waziri wa Viwanda, Biashara na Masoko, Dr. Cyril Chami akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya waigizaji wa filamu nchini waliokwenda Bungeni Mjini Dodoma leo. Kushoto kwake ni Mbunge wa Viti Maalum, Vicky Kamata. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 18, 2011

    kaka MICHUZI hii post ukiibania poa.ni swali tu sasa huyu waziri kukutana na hawa wasanii inahusu nini mbona mimi sielewi.

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 18, 2011

    Wanapigania haki miliki. Kwani yeye sio waziri wao? Acha ubaguzi..

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 18, 2011

    Kaaaaaaazi kwelikweli!

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 18, 2011

    Wale masupastaa mbona siwaoni? Au hawakuwa na haja ya kwenda kuuza sura Dodoma?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...