Waziri wa Viwanda, Biashara na Masoko, Dr. Cyril Chami (kushoto) akizungumza na baadhi ya waigizaji wa filamu nchini kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma leo.Kulia ni Mbunge wa Viti Maalum, Vicky Kamata.
Waziri wa Viwanda, Biashara na Masoko, Dr. Cyril Chami akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya waigizaji wa filamu nchini waliokwenda Bungeni Mjini Dodoma leo. Kushoto kwake ni Mbunge wa Viti Maalum, Vicky Kamata. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
kaka MICHUZI hii post ukiibania poa.ni swali tu sasa huyu waziri kukutana na hawa wasanii inahusu nini mbona mimi sielewi.
ReplyDeleteWanapigania haki miliki. Kwani yeye sio waziri wao? Acha ubaguzi..
ReplyDeleteKaaaaaaazi kwelikweli!
ReplyDeleteWale masupastaa mbona siwaoni? Au hawakuwa na haja ya kwenda kuuza sura Dodoma?
ReplyDelete