UKRAINE
==========================================



NIGERIA

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 10 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 19, 2011

    Jamani mayai hayo si lishe bora kwetu na kwa Wasomali! Hawana hata haya hao Wa-Ukraine kuchezea chakula wakati watu wanakufa njaa!

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 19, 2011

    Jamaa wanaingia na mayai bungeni kila siku.

    Nasikia kuna waheshimiwa hapa kwetu kuwa wana manati na vijiwe mifukoni kila mahali wanapokwenda, hasa wakiwa mjengoni.

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 19, 2011

    Bado kidogo tu na bongo itafikia hali hii...
    Wizi wa mali ya umma ukiendelea, na maslahi binafsi ya kuzima umeme ili waheshimiwa wafanye biashara za generators!

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 19, 2011

    Mh.Sugu utatuwakilisha kwenye hiyo session...

    ReplyDelete
  5. Advocate JashaJuly 19, 2011

    ILI KUTENDEA HAKI ANKAL TUWEKEE BUNGE LETU NAFIKIRI PICHA SAHIHI NI WAZIRI WASSIRA AKIPIGA USINGIZI BUNGENI.

    ReplyDelete
  6. AnonymousJuly 19, 2011

    bongo hawapigani ngumi wanalogana tu wanaongoza kwa uchawi mara utasikia sijui nani kaanguka bungeni kafa papohapo mara utasikia sijui mwiangine kafia hotel mwingine kafia gest uchawi umetawala bunge la wadanganyika

    ReplyDelete
  7. AnonymousJuly 19, 2011

    haloo hii kali, hata na kina mama wabunge nao ngumi mkononi.
    unajua mtu inafika kiwango uvumilivu unakushinda, hoja zinatolewa lakini hakuna majibu ya haki, bottomline ni kuwa nchi haiendi, serikali ipo ipo tu
    inabidi hata tz iwe kama hivi nigeria lol

    ReplyDelete
  8. AnonymousJuly 19, 2011

    NI TANZANIA PEKEE NDIO WATU WANACHEKEANA BUNGENI. KAMA WIZARA HAILETI MAENDELEO YALIYOKUSUDIWA NI LAZIMA WAZIRI AWEKWE KITIMOTO NA SIO UPINZANI TU BALI WABUNGE WOTE WENYE NIA YA KULETA MAENDELEO.

    ReplyDelete
  9. Bado Tanzania, dalili ni nzuri maadam tumeanza kuzomeana na kufokeana, Tanzanian version of Bunge Action Movie is coming soon. DONT MISS!!!!

    ReplyDelete
  10. AnonymousJuly 19, 2011

    Mbunge wa Uturuki alivyatua mbunge mwenziwe risasi bungeni. HAHAHA CHADEMA na CUF ndio wanataka kutupeleka huko. Subiri muda utafika maana watu wameshazoea kujichukulia sheria mikononi mitaani sasa kumebaki bungeni.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...