Brother Michuzi, huyu dogo Frank Matandula wa Ifakara a aliniacha hoi sana na mistari yake nikaamua kumwekea beat kwenye video yake ya Youtube.
Mdau wa Denmark a.k.a Mr. DJ.
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Ha ha haa.Dogo mkali!
ReplyDeletegood work Mr.DJ!
ReplyDeleteHuyo Dogo anaimba mashairi ya msanii anaitwa Roma. Nyimbo yenyewe inaitwa - Tanzania. Sema duh!!, kijana nimemkubali jinsi anavyojua lyrics zote za hii nyimbo.
ReplyDeleteHongera Dj. Hongera sana dogo huu wimbo dogo amejitahidi sana.
ReplyDeletesasa mtoto anasomesha watu wazima je mafisadi mmpo?anzeni kumegeka baciii!!!!
ReplyDeletedogo yuko makini big up
ReplyDeletenyimbo anayoiimba sio kama ni yake, anaimba nyimbo ya mwimbaji anaejulikana kama roma, labda wengi wenu hamumjui. tizameni hapa
ReplyDeletehttp://www.youtube.com/watch?v=xm5lCfN8ENc
He's heavy. Hata kama siyo yake lakini dogo ana skill kuliko wengi wetu.
ReplyDeletePamoja na kuwa nyimbo sio yake, anastahili kusifiwa...safi sana dogo...!
ReplyDeleteWimbo wa Roma huo kijana kakalili.Mimi nampa hongera kwa jinsi alivyokariri naamini anaweza kuibua kitu chake kama atatumia mfano huo kujiendeleza.
ReplyDeletehakuna cha ukali, mbona wengi wanajua kuiga. sema atengeneze chake ndo ungeweka hewani hapo unaharibu kazi za watu Mr. DJ
ReplyDeleteLakini, kijana anoongeza umaarufu zaidi wa kumjua'kama Roma ndio mwenye lyrics, kijana, no doubt is a good talent'kid!
ReplyDeletewe anony acha izo mbona wale wa bongo star search wanashinda kwa nyimbo za watu. uyu kwanzan mdogo,pili anaconfidence. na mwenzio ndo ivo tumemuona dunia nzima.si tuko mbali lakini tumemcheki,acha kuminyia wenzio sifa.izo ndo usda zenyewe. mkali mtoto
ReplyDeleteI agree,kwa mfano mimi sasa ndio namfahamu Roma baada ya kumsearch kwenye youtube.mbona hata kwenye talent show watu wanaimba nyimbo za watu?Sioni tatizo hapo.Big up dogo and Mr.DJ!
ReplyDeletemwanzo ndio huo kijana asiache mazoezi mwanzo mzuri sana ingawa pumzi bado
ReplyDelete