Brother Michuzi, huyu dogo Frank Matandula wa Ifakara a aliniacha hoi sana na mistari yake nikaamua kumwekea beat kwenye video yake ya Youtube.
Mdau wa Denmark a.k.a Mr. DJ.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 15 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 08, 2011

    Ha ha haa.Dogo mkali!

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 08, 2011

    good work Mr.DJ!

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 08, 2011

    Huyo Dogo anaimba mashairi ya msanii anaitwa Roma. Nyimbo yenyewe inaitwa - Tanzania. Sema duh!!, kijana nimemkubali jinsi anavyojua lyrics zote za hii nyimbo.

    ReplyDelete
  4. Hongera Dj. Hongera sana dogo huu wimbo dogo amejitahidi sana.

    ReplyDelete
  5. AnonymousJuly 08, 2011

    sasa mtoto anasomesha watu wazima je mafisadi mmpo?anzeni kumegeka baciii!!!!

    ReplyDelete
  6. dogo yuko makini big up

    ReplyDelete
  7. AnonymousJuly 08, 2011

    nyimbo anayoiimba sio kama ni yake, anaimba nyimbo ya mwimbaji anaejulikana kama roma, labda wengi wenu hamumjui. tizameni hapa

    http://www.youtube.com/watch?v=xm5lCfN8ENc

    ReplyDelete
  8. AnonymousJuly 08, 2011

    He's heavy. Hata kama siyo yake lakini dogo ana skill kuliko wengi wetu.

    ReplyDelete
  9. AnonymousJuly 08, 2011

    Pamoja na kuwa nyimbo sio yake, anastahili kusifiwa...safi sana dogo...!

    ReplyDelete
  10. AnonymousJuly 08, 2011

    Wimbo wa Roma huo kijana kakalili.Mimi nampa hongera kwa jinsi alivyokariri naamini anaweza kuibua kitu chake kama atatumia mfano huo kujiendeleza.

    ReplyDelete
  11. AnonymousJuly 08, 2011

    hakuna cha ukali, mbona wengi wanajua kuiga. sema atengeneze chake ndo ungeweka hewani hapo unaharibu kazi za watu Mr. DJ

    ReplyDelete
  12. AnonymousJuly 08, 2011

    Lakini, kijana anoongeza umaarufu zaidi wa kumjua'kama Roma ndio mwenye lyrics, kijana, no doubt is a good talent'kid!

    ReplyDelete
  13. AnonymousJuly 09, 2011

    we anony acha izo mbona wale wa bongo star search wanashinda kwa nyimbo za watu. uyu kwanzan mdogo,pili anaconfidence. na mwenzio ndo ivo tumemuona dunia nzima.si tuko mbali lakini tumemcheki,acha kuminyia wenzio sifa.izo ndo usda zenyewe. mkali mtoto

    ReplyDelete
  14. AnonymousJuly 09, 2011

    I agree,kwa mfano mimi sasa ndio namfahamu Roma baada ya kumsearch kwenye youtube.mbona hata kwenye talent show watu wanaimba nyimbo za watu?Sioni tatizo hapo.Big up dogo and Mr.DJ!

    ReplyDelete
  15. AnonymousJuly 09, 2011

    mwanzo ndio huo kijana asiache mazoezi mwanzo mzuri sana ingawa pumzi bado

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...