Wanahabari wakiwa na aliyekuwa Rais wa Zanzibar Dr Salmin Amour enzi hizo. 
Je, kuna unaowatambua hapo?

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 27 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 22, 2011

    Namuona Farouk karim na Abou bakari liongo.

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 22, 2011

    huyo mrefu hapo mbele mwenye tai ni Abou Bakar Liongo.wapembeni yake nadhani ni michuzi.

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 22, 2011

    Yeah namtambua Dr. Salmin Amour LOL

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 22, 2011

    Mhidini Isa Michuzi wa pili kushoto.

    ReplyDelete
  5. AnonymousJuly 22, 2011

    Nafikiri Mr. Michuzi pia!

    ReplyDelete
  6. AnonymousJuly 22, 2011

    Ankal wa pili kutoka kushoto karibu na liongo

    ReplyDelete
  7. AnonymousJuly 22, 2011

    Michuzi ancle, wa pili kutoka kushoto

    ReplyDelete
  8. AnonymousJuly 22, 2011

    Nimemtambua Issa Michuzi, Marehemu Francis Lucas, Abubakar Liongo, Emmanuel Kwitema, (nyuma ya michuzi jina limenitoka ila alikuwa anareport BBC) na kushoto kwa the late Lucas alikuwa sports editor wa Daily News)

    ReplyDelete
  9. AnonymousJuly 22, 2011

    Michuzi huyo huko kushoto

    ReplyDelete
  10. AnonymousJuly 22, 2011

    Namuona Emmanuel Kwitema!hebu anitafute tulikuwa nae Dar Airport Enzi hizoooo!

    ReplyDelete
  11. AnonymousJuly 22, 2011

    Namuona Ankal wa tatu kulia kwa Dr Salmin

    ReplyDelete
  12. Duh kumbe hakuna mtu mwembamba duniani jamani!

    Kaka Misupu nakuona hapo wa pili kushoto ulivyokuwa mwembamba enzi hizo!

    ReplyDelete
  13. Farouq kareem habadiliki bwanamdogo huyo. Nimemtambua yeye tu. Ila huyu maglasi namfananisha na Salva

    ReplyDelete
  14. A. ManambaJuly 22, 2011

    Namuona Emmanuel Kwitema, wa kwanza kushoto mstari wa mbele, hili ni jembe la Business Times katika Taswira.

    ReplyDelete
  15. AnonymousJuly 22, 2011

    namuona Michuzi, wapili kutoka kushoto.

    ReplyDelete
  16. AnonymousJuly 22, 2011

    Wa kwanza Kushoto ni Mpiga picha Moshi Kiyungi, na nyuma ya Rais mstaafu mwenye miwani ya jua nahisi ni Farouk Karim

    ReplyDelete
  17. AnonymousJuly 22, 2011

    Uncle Mithupu na farouq karim.

    ReplyDelete
  18. AnonymousJuly 22, 2011

    Walikuwa fiti!

    ReplyDelete
  19. AnonymousJuly 22, 2011

    wa kwanza kushoto mbele ni Kwitema,ankal michuzi,aboubakary liongo,mh amour,steven chuwa ila nyuma kabisa ni kimathi.



    mlawa

    ReplyDelete
  20. AnonymousJuly 22, 2011

    Kwitema, michuzi, liongo, farouk, chirwa, bwire, lucas Francis, othiambo

    ReplyDelete
  21. AnonymousJuly 22, 2011

    Kutoka kushoto, wa kwanza Kwitema na anaye mfuatia ni Michuzi halafu Liongo, Nyuma kabisa katikati ni John Bwire na mbele ya yake(T Shirt ya njano) ni Francis Chirwa, Nafikiri Shimye amevaa Shirt la rangi nyekundu, na aliyevaa miwani ni Stephen Rweikiza.

    ReplyDelete
  22. AnonymousJuly 22, 2011

    Ukiachia Misupu na Farouk Karim, mimi pia nimembaini Mzee Stephen Rweikiza (kwanza kulia)

    ReplyDelete
  23. AnonymousJuly 22, 2011

    Ali Mwinyikai ni huyo mrefu aliepo nyuma kabisa. Ingawa mwinyikai umekuwa mkongwe sasa i can't forget your youth face for what you did to me at Tumekuja secondary school while you were teaching there. I WILL NEVER FORGET THE FACE, THE PLACE AND THE ACTION!!!!

    ReplyDelete
  24. AnonymousJuly 22, 2011

    Hiki ni kikosi cha waandishi wa habari za michezo enzi hizooo... Nimewatambua Kaka Steven Rweikiza, Marehemu Shimye Ahmed, yuko Francis Chirwa, Abou Liongo, Ankal Michuzi, Farouq Karim, Francis Lucas pembeni ya Dk. Salmin, Yupo pia Emmanuel Kwitema na wa tatu kushoto (mstari wa nyuma) nahisi ni Rashid Zahor. Nyuma ya Chirwa ni Lutego kweli au macho yangu...anafanana na John Bwire kwa mbaaali!!!????

    ReplyDelete
  25. AnonymousJuly 22, 2011

    walikuwa wamefulia mbaya hhhaaaaaaa

    ReplyDelete
  26. AnonymousJuly 22, 2011

    haji makame kidungura wa mlandege dukani,wiwapo hazipo wa mwache alale,Rama ali fuko mlandege dukani, Ali bakari kidungura wa munduli juu,abedi manya na abedi robo wa kivumge na dr.salmin na faruq karim

    ReplyDelete
  27. AnonymousJuly 22, 2011

    nilisahau pia yumo:Ojey sim sim mzee wa malove story wa mwembetanga,Simai kahama kwao wa kajengwa makunduchi.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...