Home
Unlabelled
enzi hizoooo...
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Namuona Farouk karim na Abou bakari liongo.
ReplyDeletehuyo mrefu hapo mbele mwenye tai ni Abou Bakar Liongo.wapembeni yake nadhani ni michuzi.
ReplyDeleteYeah namtambua Dr. Salmin Amour LOL
ReplyDeleteMhidini Isa Michuzi wa pili kushoto.
ReplyDeleteNafikiri Mr. Michuzi pia!
ReplyDeleteAnkal wa pili kutoka kushoto karibu na liongo
ReplyDeleteMichuzi ancle, wa pili kutoka kushoto
ReplyDeleteNimemtambua Issa Michuzi, Marehemu Francis Lucas, Abubakar Liongo, Emmanuel Kwitema, (nyuma ya michuzi jina limenitoka ila alikuwa anareport BBC) na kushoto kwa the late Lucas alikuwa sports editor wa Daily News)
ReplyDeleteMichuzi huyo huko kushoto
ReplyDeleteNamuona Emmanuel Kwitema!hebu anitafute tulikuwa nae Dar Airport Enzi hizoooo!
ReplyDeleteNamuona Ankal wa tatu kulia kwa Dr Salmin
ReplyDeleteDuh kumbe hakuna mtu mwembamba duniani jamani!
ReplyDeleteKaka Misupu nakuona hapo wa pili kushoto ulivyokuwa mwembamba enzi hizo!
Farouq kareem habadiliki bwanamdogo huyo. Nimemtambua yeye tu. Ila huyu maglasi namfananisha na Salva
ReplyDeleteNamuona Emmanuel Kwitema, wa kwanza kushoto mstari wa mbele, hili ni jembe la Business Times katika Taswira.
ReplyDeletenamuona Michuzi, wapili kutoka kushoto.
ReplyDeleteWa kwanza Kushoto ni Mpiga picha Moshi Kiyungi, na nyuma ya Rais mstaafu mwenye miwani ya jua nahisi ni Farouk Karim
ReplyDeleteUncle Mithupu na farouq karim.
ReplyDeleteWalikuwa fiti!
ReplyDeletewa kwanza kushoto mbele ni Kwitema,ankal michuzi,aboubakary liongo,mh amour,steven chuwa ila nyuma kabisa ni kimathi.
ReplyDeletemlawa
Kwitema, michuzi, liongo, farouk, chirwa, bwire, lucas Francis, othiambo
ReplyDeleteKutoka kushoto, wa kwanza Kwitema na anaye mfuatia ni Michuzi halafu Liongo, Nyuma kabisa katikati ni John Bwire na mbele ya yake(T Shirt ya njano) ni Francis Chirwa, Nafikiri Shimye amevaa Shirt la rangi nyekundu, na aliyevaa miwani ni Stephen Rweikiza.
ReplyDeleteUkiachia Misupu na Farouk Karim, mimi pia nimembaini Mzee Stephen Rweikiza (kwanza kulia)
ReplyDeleteAli Mwinyikai ni huyo mrefu aliepo nyuma kabisa. Ingawa mwinyikai umekuwa mkongwe sasa i can't forget your youth face for what you did to me at Tumekuja secondary school while you were teaching there. I WILL NEVER FORGET THE FACE, THE PLACE AND THE ACTION!!!!
ReplyDeleteHiki ni kikosi cha waandishi wa habari za michezo enzi hizooo... Nimewatambua Kaka Steven Rweikiza, Marehemu Shimye Ahmed, yuko Francis Chirwa, Abou Liongo, Ankal Michuzi, Farouq Karim, Francis Lucas pembeni ya Dk. Salmin, Yupo pia Emmanuel Kwitema na wa tatu kushoto (mstari wa nyuma) nahisi ni Rashid Zahor. Nyuma ya Chirwa ni Lutego kweli au macho yangu...anafanana na John Bwire kwa mbaaali!!!????
ReplyDeletewalikuwa wamefulia mbaya hhhaaaaaaa
ReplyDeletehaji makame kidungura wa mlandege dukani,wiwapo hazipo wa mwache alale,Rama ali fuko mlandege dukani, Ali bakari kidungura wa munduli juu,abedi manya na abedi robo wa kivumge na dr.salmin na faruq karim
ReplyDeletenilisahau pia yumo:Ojey sim sim mzee wa malove story wa mwembetanga,Simai kahama kwao wa kajengwa makunduchi.
ReplyDelete