Askali polisi wa usalama barabarani akisikiliza maelezo toka kwa dereva wa gari hilo mara baada ya kumkamata alipokuwa akitanua.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. Hilo si gari la Lady Jaydee jamani?

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 20, 2011

    huyo ni gardner huyo..alitolewa ngapi!!!?

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 20, 2011

    Hajakamatwa, ni utaratibu wa polisi kufanya ukaguzi-shutukiza! Retired Polisi

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 20, 2011

    Wanaotanua wote ni WAJINGA (samahani kama nimewakera lakini munaniboa sana sana!). Wenzenu tunapanga foleni wao wanajifanya wana haraka na ndiyo wanatuchelewesha sote.

    Ningekuwa na uwezo ningeanzisha kampeni kama ile ya ulevi noma mimi ningeita KUTANUA KUNAAINISHA KIWANGO CHAKO CHA JUU CHA UJINGA.

    ReplyDelete
  5. AnonymousJuly 20, 2011

    Hata kama ni gardner au lady jay dee, wao ndiyo anaruhusiwa kuvunja sheria?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...