Marehemu Isihaka Kibene (wa pili shoto) enzi za uhai wake akiwa na wakurugenzi wenzake na wanamuziki walemavu wa Tunaweza Band ambayo marehemu kaifadhili vyombo na matunzo.
Asalam Aleykum,
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Watanzania UAE Bw. Mohammed Sharrif anasikitika kuwataarifu kifo cha mwanajumuiyaBw. ISIHAKA KIBENE.
Marehemu Isihaka Kibene amefariki mchana huu huko Tanzania. Taarifa za mazishi tutazitoa baada ya kuzipata toka Tanzania.
Jumuiya ya Watanzania UAE inauombea maghfira marehem na Allah amjaalie makazi mema peponi.
Jumuiya ya Watanzania UAE inawaarifu Wanajumuiya, Watanzania wote na Marafiki wa Marehemu kutoka mataifa mbalimbali kuwa kutakuwa na HITMA ya Marehemu siku ya Alhamisi tarehe 14 Julai baada ya Swalat I'sha kwenye Msikiti wa Zanzibar Rashidiya.
Mwenyekiti anawaomba Wanajumuiya na Watanzania waishio UAE waliopo Tanzania wakati huu, kutuwakilisha katika shughuli zote za msiba.
Inna Lillahi wa Inna Illayhi Raj'un.
Kwa niaba ya Mwenyekiti wa Jumuiya ya Watanzania UAE.
Issa Majid Maggidi
Naibu Katibu Jumuiya ya Watanzania UAE

Inna lillah wa Inna wallayh Raj'un
ReplyDeleteMwenyezi Mungu amlaze mpema pemoni,na kumfungulia milango yote ya peponi,mchango wake kwa jamii ya watanzania utadumu na kuenziwa milele,
Pia tunawapa pole wafiwa ndugu na Jamaa wa marehem Isihaka Kibene,
Mungu amlaze pema peponi,
Wadau
Ngoma Africa Band aka FFU
INNA LILLAH WA INNA ILAHI RAJIUN HAKIKA KWAKE MOLA TUMETOKA NA KWAKE TUTAREJEA ALLAH AMLAZE PEMA NA SISI ATUREHEMU AMEEN.
ReplyDeletepole sana wafiwa na Mungu amlaze mahala pema peponi amina. Ila uncle Ankal ungekuwa unaweka na mwaka aliozaliwa marehemu ingekuwa poa sana, ili angalau kuweza kupata picha halisi ya umri na ukizingatia life expectancy Tanzania ni issue, pia itasaidia kwa wengine maana tunadeal na issue mbalimbali za kiuchumi! senkyu yu anko
ReplyDelete