WAJUMBE wa baraza wakiwa katika eneo la jengo la baraza kulia Mjumbe wa Kuteuliwa Ali Mzee Ali na Mwakilshi wa Tumbatu Omar Haji Kheri. WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais Mohammed Aboud Mohammed akizungumza na Salim Abdalla Hamad(Mtambwe)wakiwa nje ya ukumbi wa baraza. WAZIRI wa Ardhi Makaazi Maji na Nishati Ali Juma Shamuhuna akimsikiliza kada wa Chama cha Mapinduzi Mohammed Moyo MWAKILISHI wa Mji Mkongwe Ismail Jussa akisisitiza jambo na wajumbe wazake wakiwa nje ya ukumbi wa Mkutano baada ya kikao cha asubuhi kumalizika. MAKAMU wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Idd akimsikiliza Mwakilishi wa Magomeni Salimin Awadh wakibadilishana mawazo.WAJUMBE wa Baraza la Wawakilishi wakimsikiliza Mwandishi Mkongwe Salim Said akisisitiza jambo. WAZIRI wa Wizara ya Kazi Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi na Ushirika akipongezwa na Wafanakazi wa Wizara hiyo kwa kupita kwa Bajeti ya Wizara yake. Picha Zote na Othman Maulid-Zanzibar
Home
Unlabelled
kutoka baraza la wawakilishi zanzibar
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
duh huyu salim said salim ndio alivozeeka hivi si mchezo anakua mfupi zaidi enzi \zetu tulikua tukimwita Father maka (makanda) maana tukicheza mpira nje kwake hutufukuza na mikanda ,na watoto wake anawafungia ndani tusicheze nao
ReplyDelete