Home
Unlabelled
MRISHO HALFANI NGASSA ATUA SEATTLE, USA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Kila la kheri Ngassa, Mungu anakupenda sana na atakubariki katika hili pia ndugu yetu!
ReplyDeleteNgasa wewe unaweza na ndio maana wakakuchagua uende huko! Watanzania wote tunakukubali na tunakuombea kila la heri
ReplyDeleteKwako Mrisho Ngassa,
ReplyDeletePole an safari ndefu hata hivyo tunakuombea kwa Mungu akusaidie huko uliko na uweze kufanya vizuri sana kwa ajili ya taifa lako na wananchi wako ambao wengi wanayo mapenzi mema na wewe. Jitahidi sana kuzingatia ufanyalo ili uweze kubaki huko na kuliletea TAIFA LA TANZANIA heshima kubwa. Mungu akubariki sana.
Hongera Sana, tumusifu nani kwa juhudi Hizi? Kajumuro au Zamunda? Kuuliza si Ujinga?
ReplyDeleteWabeja
Babu kaju usimpige changa la macho Ngassa kama ulivyofanya Majimaji
ReplyDeletekila la kheri kk tunakuombea wishing you all the best
ReplyDelete