TUMUOMBEE HUYU KIJANA WETU AWEZE KAFANYA VIZURI TUMEFIKA JANA HAPA SEATTLE NA NIMEMKABIZI  KWA  WATU WA TIMU JANA HAPA NI UWANJA WA NDENGE WAKATI NAMKABIZI WATANZANIA WOTE TUMUOMBEE THENKXX - ALEX KAJUMULO

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 12, 2011

    Kila la kheri Ngassa, Mungu anakupenda sana na atakubariki katika hili pia ndugu yetu!

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 12, 2011

    Ngasa wewe unaweza na ndio maana wakakuchagua uende huko! Watanzania wote tunakukubali na tunakuombea kila la heri

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 12, 2011

    Kwako Mrisho Ngassa,
    Pole an safari ndefu hata hivyo tunakuombea kwa Mungu akusaidie huko uliko na uweze kufanya vizuri sana kwa ajili ya taifa lako na wananchi wako ambao wengi wanayo mapenzi mema na wewe. Jitahidi sana kuzingatia ufanyalo ili uweze kubaki huko na kuliletea TAIFA LA TANZANIA heshima kubwa. Mungu akubariki sana.

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 12, 2011

    Hongera Sana, tumusifu nani kwa juhudi Hizi? Kajumuro au Zamunda? Kuuliza si Ujinga?

    Wabeja

    ReplyDelete
  5. AnonymousJuly 12, 2011

    Babu kaju usimpige changa la macho Ngassa kama ulivyofanya Majimaji

    ReplyDelete
  6. AnonymousJuly 12, 2011

    kila la kheri kk tunakuombea wishing you all the best

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...