Mshambuliaji hatari wa Azam FC na Taifa Stars Mrisho Ngassa akipambana na Rio Ferdinand katika mchezo wa kirafiki wa kimataifa kati ya Manchester United na Seattle Sounders ya Seattle, Marekani, ambayo alicheza kama mchezaji mwalikwa na kufanya makubwa katika dakika 15 alizocheza.  Man U walishinda bao 7-0.  

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 9 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 21, 2011

    makubwa yapi hayo aliyoyafanya? zaidi ya kukosa goli la wazi dk za mwisho. anyways, it felt great to see him in there, too bad he was only given 15minutes, when Sounders were arleady down by 6-0. Mrisho Khalfan Ngassa..YOU MADE US PROUD. TZ STAND UP!

    N.B: Our Mheshimiwa Dk. JK was on screen during halftime on the ground, what was the message about? utalii?

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 21, 2011

    adobe photo 7 hakuchezaaa

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 21, 2011

    Wazee mlioshuhudia mchezo, tupeni analysis ya ukweli kuhusu kijana wetu. Je alionesha kuwa anafaa kuchukuliwa na Seattle au la?

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 21, 2011

    Makubwa yapi hayo aliyoyafanya? Kitendo cha kutoharibu tayari ni kubwa. Alionyesha uwezo wa kucontrol mpira, kutokuwa na woga wa kukabiliana na mchezaji kwenye 1 v 1 (alipata freekick kwa jitihada hizi), uwezo wa kucheza pasi 'moja moja', uwezo wa kunusa nafasi za kukwamisha mpira wavuni na ugonjwa sugu wa Watanzania wa kushindwa kukwamisha mpira wavuni. Kama ulikuwa unafanya scouting ya kumsajili nadhani umeona vipengele vingi muhimu na unaweza kuwa unamfikiria zaidi.

    ReplyDelete
  5. AnonymousJuly 21, 2011

    kusema ukweli ningumu sana kumjaji kwani hana huwezo mkubwa wakufika tu kwenye club nakuaanza kucheza inatakiwa apewe muda ,mfano mchezaji kama adebayour alipofika madrid hakuna alichofanya kwani huwa ningumu sana kufika na kucheza tu mechi moja arafu tukaanza kusema kacheza vizuri ama vibaya hajawaikucheza nchi zozozte zile zl ulaya sasa tumuombee wampe muda zaidi hatabadilika kwani bado nikija tu hanahuwezo wakubadilika

    ReplyDelete
  6. AnonymousJuly 22, 2011

    Sasa kuna ajabu gani? Imefika muda sisi wabongo kubadilika haya mambo ya kucheza nje yameshakuwa ya kawaida kwetu. Kuna wachezaji wengi wakitanzania wanaocheza nje au wameshacheza nje.Huu ulimbukeni tuuache.

    ReplyDelete
  7. AnonymousJuly 22, 2011

    Mie mechi nimiona amejitahidi sana kwa mechi kubwa kama ile , tena kwa mara ya kwanza amejitahidi tumpongeze, wachezaji wakubwa hata nao wakiwa wageni katika mechi za mwanzo wanapata shida. Ameweza kucontroll n na kupiga shuti na kuonyesha juhudi za kunyanganyana mpira na wachezaji wakubwa , anaweza tuache wivu na roho za kwanini.

    ReplyDelete
  8. AnonymousJuly 25, 2011

    Wanaosema hajaonyesha lolote hawajui walisemalo, wanamawazo ya zamani, tuache mambo haya ya kibongo, huo ndo mwanzo tutapata kina ngasa wengi, tumwuunge mkono afanikiwe ili timu nyingi zije zichukue vijana wetu na hatimaye tukuze soka la bongo na ajira kwa vijana. Mpira ni maendeleo jamani!

    ReplyDelete
  9. big up ngassa asee

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...