Naibu Mhariri Mtendaji wa Kampuni ya New habari (2006) Danny Mwakitereko(Pichani) amepata ajali ya gari siku wa kuamkia leo, jijini  Dar es Salaam.Amefanyiwa upasuaji wa kichwa katika Taasisi ya mifupa Muhimbili. Hivi sasa yuko ICU Muhimbili kama anavyoonekana kwenye picha hapo juu leo hii.Tumwombee ndugu yetu Mungu amponye haraka ili tuungane naye katika kusukuma gurudumu la maendeleo kwa manufaa ya taifa.
By Arodia
Journalist, Mtanzania.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 21, 2011

    HAMNA PICHA

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 21, 2011

    Ahsante kwa kuondoa picha. Manake kuna ndugu, jamaa na marafiki ingewatesa mno.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...