Mdau Nassir Mohamed akifurahi baada ya kulamba nondozzz yake ya MSC Business and Management katika Chuo Kikuu cha University of Bedfordshire nchini Uingereza. Nassir ni bonge moja la producer mkali wa filamu za Bongo akiwa anajidai kwa kuachia filamu za Super model na Mhanga wa mapenzi itakayoingia sokoni karibuni
Da' Ummalkheir Abdi baada ya kulamba nondozzz yake ya Msc International Business
Nassir akilamba nondozzz zake
Da' Ummalkher na yeye kalamba nondozzz ya MSC International Business Nassir akila pozi baada ya kula nondozzz
Nassir na kaka yake baada ya kula nondozzz |
Congratulation Nassir,inabidi murudi bongo wasomi kuendeleza nchi zenu.Na michuzi hujatuintroduce kuwa huyo Da Ummalkheir ndio shem wetu kwa producer au lah?na kama ni Lah Ameolewa au Lah?
ReplyDeleteMdau Gongo la mboto
na kama ni Lah unamtaka au Lah?
ReplyDeletePongezi kwenu wote wawili na tunamuomba Muumba awalinde na awabariki. Amin.
ReplyDeleteAnon wa kwanza kabisa, umefanya vizuri kumpa Nasir 'congratulation' lakini umetibua kwa kuanza kuuliza maswali kuhusu status ya ndoa ya bibie. Kama unatafuta mchumba nashauri utoe tangazo hapa badala ya kuunganisha mambo yasiyohusiana.
ReplyDeletehahhaaaa m so happy for Ummar.. Lol! umenikumbusha mbali sana enzi za primary Olyimpio.. finally u made it through... ulikuwa mtundu sana... unakumbuka ule wimbo we use to sing "tulikula wali- wali na sooombe"... malizia basi... faraja anatoa kibwagizo.... 7B......
ReplyDeleteAll the best....