Hayati Sekou Toure Mndeme


Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 13, 2011

    Mungu ailaze pema peponi roho ya marehemu Sekou Toure Mndeme

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 13, 2011

    R.I.P. Im honored to be one of the people who got to know you. You are already missed.

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 13, 2011

    Natumai ni yule tuliyekuwanaye Oljoro JKT, operation Nidhamu, COY B. Mungu awajaalie nguvu ndugu, wazazi na marafiki zake.

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 13, 2011

    Mwenyezi Mungu ailaze roho ya marehemu Sekou-Toure mahala peme peponi, Ameen.
    Tuliosoma na wewe pale Usagara Seko, Tanga bado tunakukumbuka kwa ucheshi wako kwa kila mtu na hasa nyakati za picnic kule Mwambani Beach.

    Chupa Ya Ladu, Moshi.

    ReplyDelete
  5. AnonymousJuly 13, 2011

    HASA NDIYE TULEKUWA NAYE OLJORO JKT OPERATION NIDHAMU COY B (YA AFANDE MALUWILUWI)

    ReplyDelete
  6. AnonymousJuly 13, 2011

    Mtu wa watu, mcheshi , mchapa kazi na rafiki.
    Pumzika kwa amani Toure. Tutakumiss sana

    ReplyDelete
  7. It has been years , bado tunakukumbuka

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...