Home
Unlabelled
Ratiba ya Mazishi ya Hayati Sekou Toure Mndeme
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Mungu ailaze pema peponi roho ya marehemu Sekou Toure Mndeme
ReplyDeleteR.I.P. Im honored to be one of the people who got to know you. You are already missed.
ReplyDeleteNatumai ni yule tuliyekuwanaye Oljoro JKT, operation Nidhamu, COY B. Mungu awajaalie nguvu ndugu, wazazi na marafiki zake.
ReplyDeleteMwenyezi Mungu ailaze roho ya marehemu Sekou-Toure mahala peme peponi, Ameen.
ReplyDeleteTuliosoma na wewe pale Usagara Seko, Tanga bado tunakukumbuka kwa ucheshi wako kwa kila mtu na hasa nyakati za picnic kule Mwambani Beach.
Chupa Ya Ladu, Moshi.
HASA NDIYE TULEKUWA NAYE OLJORO JKT OPERATION NIDHAMU COY B (YA AFANDE MALUWILUWI)
ReplyDeleteMtu wa watu, mcheshi , mchapa kazi na rafiki.
ReplyDeletePumzika kwa amani Toure. Tutakumiss sana
It has been years , bado tunakukumbuka
ReplyDelete