Patrick Mafisango akiwa amembeba Juma Kaseja baada ya mchezo kumakalizika.
Amir Maftah (shoto) na Kaseja wakishangilia ushindi wa Penati 5-4.
Golikipa wa Simba, Juma Kaseja akiwapungia mashabiki wa timu hiyo baada ya kumalizika kwa mchezo wa nusu fainali ya michuano ya Kombe la Kagame dhidi ya timu ya El-Mereikh ya Sudan uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa Dar es Salaam.Kulia ni Kocha wa Makipa, Idd Pazi.
Mpira umeisha na Simba imeingia fainali ya CECAFA KAGAME CASTLE CUP kwa kuitoa El Mereikh ya Sudan kwa mabao 5-4 kwa njia ya penati. Hadi dakika 120 zinaisha ngoma ilikuwa droo 1-1.


SUBIRI JUMAPILI NDIYO UTAJUWA KAMA THERE IS ONLY ONE YANGA...NYODO ZAKO ZITAKWISHA ......
ReplyDeleteJamani tutajieni wafungaji wa magoli
ReplyDeleteanony wa kwanza,umeumia yanga shughuli imeshaisha,kaseja kipa itabaki hivyo
ReplyDeletewe anony wa kwanza nadhani unaota ndoto, kwani yanga wameshafuzu? au ndio yaleyale ya juzi mmehakikishiwa na cecafa? ili mapato yazidi kwa kubebwa hata kwenye penalt.
ReplyDeleteSimba:Hizo hela mtakazozipata kwenye michuano hii kiasi fulani mfungue mtandao wa Timu..Watani wenu wameifungua www.yangasc.com.Mpira wa sasa hivi bila mtandao hamtafanikiwa.
ReplyDeleteTFF:Mtandao wenu una habari za zamani sana:
CECAFA:Mamilioni yote hayo hamna Mtandao?,nimejaribu kuwatafuta kwenye google siwapati.Msonye Tafadhali
David V
Hakuna wafungaji, simba butu hadi sasa wamefunga magoli mawili tu. Au tuhesabie na hizo penalty za baada ya mchezo?
ReplyDeleteanonymous 11:10:00
ReplyDeletecheki na hapa pia..jamaa wanajitahidi kiasi chake.
www.kandanda.co.tz