FFU wa Ngoma Africa Band waanzaShamra shamra za miaka 5O ya uhuru mapema!!!!!!!! na kasi kubwa !
Bendi maarufu ya mziki wa dansi baranu ulaya Ngoma Africa band aka FFU,wamestua ulimwengu kwa kurusha hewani wimbo mpya uliobeba jina la "BongoTambarare" kama mojawapo ya mwanzo wa shamra shamra za kuelekea katikasherehe za miaka 50 ya Uhuru !
Wimbo huo  "Bongo Tambarare" utunzi wake kiongozi wa bendi hiyo kamandaRas Makunja,akiimba kwa kushirikiana na Christian Bakotessa aka Chris-B,aka"Mshenzi" wa gitaa la solo,wimbo unasikika katika kambi ya FFU at www.ngoma-africa.com 
Wimbo huu ni salam za mwanzo tu kutoka  bendi hiyo watanzania wote popote walipo, lakini bendi hiyo itaipua jikoni vitu vipya rasmi katika siku za usoni,hili kuhakikisha umma wawananchi wa Tanzania na marafaki wote wanapata burudani kamili hisiyo na mfano.
Mdau usikose kusikiliza "Bongo Tambarare" ya watanzania at 
www.ngoma-africa.com  ambapo pia unaweza
ku Log In na kuwa memba

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 22, 2011

    Ni ustaarabu gani wa mtu kumwita mwenzake au kukubali kuitwa "mshenzi"? hivi neno mshenzi sio tusi au dharau ya hali ya juu kabisa?

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 22, 2011

    kamanda ras makunja na kikosi chako FFU aka watoto wa mbwa hongereni sana sana kazi yenu inakubalika,tena mnatisha hili ni sebene la kukata na mundu

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 23, 2011

    mpiga gitaa Chris-B aka Mshenzi katika gitaa la solo,jina lake linastaili na mlio wa mpini wake

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...