Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya simu za mkononi ya Airtel Tanzania, Sam Elangalloor akizungumza katika hafla ya futari iliyoandaliwa na kampuni hiyo kwa wateja wake wa makampuni katika Hoteli ya Golden Tulip, Dar es Salaam jana.
Meneja Uhusiano wa kampuni ya simu za mkononi ya Airtel Tanzania, Jackson Mmbando akizungumza katika hafla ya futari iliyoandaliwa na kampuni hiyo kwa wateja wake wa makampuni katika Hoteli ya Golden Tulip, Dar es Salaam jana.
Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya simu za mkononi ya Airtel Tanzania, Sam Elangalloor (katikati) akibadilishana mawazo na baadhi ya wateja wa kampuni hiyo katika hafla ya futari iliyoandaliwa na Airtel  kwa wateja wake wa makampuni katika Hoteli ya Golden Tulip, Dar es Salaam jana.
Meneja Mauzo wa Airtel Kitengo cha Wateja wa Makampuni, Babra Arnest (kushoto) akishikana mikono na mmoja wa wateja wa kampuni hiyo ambaye pia ni mbunifu mashuhuri wa mavazi nchini, Mustafa Hassanali katika hafla ya futari iliyoandaliwa na Airtel  kwa wateja wake wa makampuni katika Hoteli ya Golden Tulip, Dar es Salaam juzi. Wa pili kulia ni Meneja Uhusiano wa Airtel Tanzania, Jackson Mmbando.
Baadhi ya wateja wa makampuni wa kampuni ya Airtel wakichukua futari  katika hafla iliyoandaliwa na kampuni hiyo katika  Hoteli ya Golden Tulip, Dar es Salaam

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Duh, siku hizi ni kufuturisha tu kwenda mbele....Socialization is good!....but too much...hizo fedha changieni barabara na nyumba za walimu zijengwe nchini!!..

    ReplyDelete
  2. Uncle mimi mteja wa airtel tangu 2001 enzi za celtel na zain mbona wamenisahau kwenye futari?

    Huo ni ubaguzi na kuanzia sasa napunguza matumizi ya mtandao huo

    ReplyDelete
  3. Mdau wa kwanza ughaibuni karibu na krismasi kila ofisi huwa krismasi party!! Hii futari mwajiri anawapunguzia makali wafanyakazi wake kwa siku moja.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...