Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. This is fantastic....hope Tanzania is going beyond borders...this gonna be an opportunity for entrepreneurs.

    ReplyDelete
  2. Jamani wengine hatuelewi hivi hiki ni kitu gani au tangazo hili lina maana gani na nini hasa kinatakiwa kifanyike na masharti ni nini?

    ReplyDelete
  3. Tangazo hili maana yake ni kuwa kama unataka kufungua biashara ya shule za "kindegarten" uwasiliane na hao jamaa utaingia nao biashara. Kwa ufupi ni wizi mtupu!!
    Mdau UK

    ReplyDelete
  4. Ndugu mdau kutoka UK...hapa ni suala la uelewa ndugu yangu..usitake kupotosha watu kwa maana franchising inafanyika duniani kote na ni biashara ya mfumo mpya ambayo inaweza kumsaidia na kumpatia nafasi mtu asiye na uwezo mkubwa kufikia malengo yake.
    Mdau uliyeuliza swali tafadhari wasiliana na hao jamaa unaweza fumbuka na mengi

    ReplyDelete
  5. Anon wa 06.11 "franchising" je unajua maana yake? Waulize wale Wahindi wa bongo wa Horizon na franchise yao walifikia wapi mwisho? Franchise haitafanikiwa Tanzania maana biashara zetu sio sawa na hizo nchi unazosema wanatumia. Unapofanya biashara na franchise sharti la mwanzo ni kuwa ulipe kiasi fulani cha pesa kwa hao jamaa na pia kila mwaka ulipie kwa kutumia jina lao. Sharti la pili ni kuwa utatumia kila kitu chao na utanunua kwao tu. Ukipiga hesabu kwa Tanzania huna faida utakayoipata.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...