Ankal akiwa na mkongwe wa picha za habari Mzee Jonas Marios ambaye amestaafu na anaishi Dodoma sasa
Mbunge wa Ludewa Mh. Filikunjombe (shoto) akiwa na mpiga picha mkongwe Madanga Shaaban Madanga bungeni
Waziri wa Fedha Mh Mustafa Mkullo akijibu hoja mbalimbali zilizowasilishwa bungeni
Mbunge wa Mbeya mjini Mh Joseph Mbilinyi a.k.a Sugu, akichangia hoja ya Wizara ya Fedha leo
Kiongozi wa Kambi ya Upinzani Bungeni Mh. Freeman Mbowe na Naibu wake Mh Zitto Kabwe wakisimama kwa heshima baada ya Spika Anne Makinda kuahirisha bunge kwa mapumziko ya mchana leo
Maafisa wakuu wa Idara na Taasisi mbalimbali za kifedha wakitoka bungeni leo baada ya bajeti ya Wizara ya Fedha kupitishwa na wabunge
![]() |
Mkurugenzi Mkuu wa PPF Bw Erio akimpongeza waziri wa fedha Mh Mustafa Mkullo baada ya bajeti ya Wizara hiyo kupita mchana huu |
Ankal na Mh Freeman Mbowe leo
Kiongozi wa kambi ya Upinzani Bungeni Mh. Freeman Mbowe akoneshwa picha na mpigapicha mkuu wa Mwananchi Edwin Mjwahuzi leo
Waziri Mkuu Mh Mizengo Pinda akiongea na Mbunge wa Kigoma Kaskazini Mh Zitto Kabwe leo
ninawasiwasi na picha ya kwanza,huyo ni simbachawene kweli????hebu jaribu kuangalia vizuri nadhani siye!!!!!!!
ReplyDeleteMbowe acha usanii.
ReplyDeleteHivi alivyovaa Mbowe ambaye si muislamu ni sahihi? Waislamu nisaidieni hilo vazi lina maana gani kwenye dini yenu?
Ma'ansha'Allah Ma'ansha'Allah!!!!Freeman na Zitto Makanzu yao na vibaragashia na makoti wametoka Chiiichaa!!!OOOhh Mbowe you fit into Muslim!Fabulously Look!Ahlam UK!!!
ReplyDeletehawa jma jamaaa utafkiri wako pikniki wabunge baaana kuleni kwa raha zenu
ReplyDeleteAnkal umetudanganya hiyo picha ya kwanza huyo sio SIMBACAWENE bwana hebu tafuta jina sahihi la huyo mtu laasivyo nakushitaki kwa kudanganya jamvini maana naamini kuna kamati ya maadili ya Jamvi hili Hahahahaha
ReplyDeleteWilly
kumbe freeman mbowe ni muislam mimi nilikuwa sijui yote ni sawa tu kila mtu anauhuru wa kuchagua dini anayotaka big up mbowe
ReplyDeleteAnon wa pili, hilo ni vazi la heshima kwani linamsitiri mtu vema huku likimpa nafasi ya kuwa free, bila kubanwa. Sio waislamu tu, hata watawa wa Kikristo..mapadri, maaskofu nk huvaa kanzu wakati wa Ibada. Mvaaji anapaswa kujiheshimu katika vazi hilo, haifai kutukana, kupigana wala kumfanyia mtu mwingine karaha ya aina yeyote. Usivae pia maeneo yasiyo ya heshima kama bar nk. Otherwise, ruksa kuvaa, sio lazima uwe muislamu.
ReplyDeleteTena kukubaliana na wewe uku kwetu kanda ya Ziwa Wanyambo/Wahaya na Wagandaa/Wanyakole, Watoro, Wachigga, na Wanyoro vazi la kazu uvaliwa wakati wa harusi au mnapokwenda ukweni kuchumbia, mzee lazima uvae kazu vinginevyo hujulikani kama mzee. Mzee katika shughuli hizi hakuna kuvaa suti. Ni kazu na koti juu yake, ila upendenza zidi ukiweka kofia ya Garushnda.
ReplyDeleteKanzu ni maalum kwa makuhani (wachungaji na Mashekhe) sasa inakuwaje kila mtu anapaswa kuvaa? hasa kwa waislam? Je si vazi linalovaliwa wakati wa kuendesha ibada tu? Hebu munisaidie mwenzenu!!
ReplyDeleteKanzu ni vazi lenye asili ya kiarabu. Halina dini kwani wote huwa wanavaa.
ReplyDeleteIla nakubaliana na wadau hapo juu ni vazi la heshima kwa pande zote, uwe muislamu au mkristo.
But real is funny kuvaa vazi ambalo hujui maana yake, eti na vibarakashee haipendezi msomi, kiongozi kuiga unapaswa kuonekana serious kwa vitu unavyofanya ila kwa hili sijawafagilia, bungeni siku hizi ovyoooo hadi kinamam/dada wanafunga midundiko. Hivi hamjui kuwa hata nchi zingine zinawaangalia?
ReplyDeleteAsalaam aleikum Muftiis, nimesikia mna mke mmoja kuna nafasi tatu za wake zimebaki naomba nitume maombi hasa kwa Free niko tayari kuwa mke wako wa pili, manshaalah hapo ukiwashwa ubani tu ndoa kamili
ReplyDeleteSheikh Zito bin kabwe na sheikh Freeman bin Mbowe mbarikiwe sana kwa kuondoa udini
ReplyDeleteMmh Mrema amekivaa sana kibaraghashia watu hamsemi. Kweli hizi ni chuki binafsi.
ReplyDeleteNI vazi tu mbona maswali kibao lol ngoja namie nivae nione kama nita..................... kama........................lol
ReplyDelete