Ankal salamaleko,
Pole na swaumu ingawa sina uhakika kama huko ughaibuni uliko inapanda. Mie nna shida ndogo tu, naomba wadau mnisaidie. Ni kwamba huku Mbezi Beach jijini Dar Tanesko hawajakata umeme siku ya tano mfululizo. Yaani toka wiki iliyopita, wikiendi hii na hadi hii leo haujakatwa - Je, kuna tatizo?
Mdau Mbezi Beach


DAH ASANTE SANA KWA MSAADA WAKO KWA KWELI SISI TUNAJUA TUNAWAKATIA SASA SIUI TATIZO LIKO WAPI NAFIKIRI KUNA MTU ANAIHUJUMU OFFICE HAPA, SASA MASHKHOFU TUTAKATA LEO MPAKA MWEZI UJAO, OFF COZ HII NDIO PLAN TULIOKUA NAYO KWA MBEZI, ILA ANYWAY HUJUMA TU
ReplyDeleteTUNASHUKURU KWA KUTUKUMBUSHA
MDAO TANESIKO
Inasemekana kuwa vifaa vya kukatia umeme havijafanyiwa service tangu mgao uanze, kwa hiyo na vyenyewe vipo kwenye hali mbaya sana. haviwezi kutumika mara kwa mara kukata umeme. kwa hiyo tuwe na subra, hali ikiwa nzuri, mgao utaendelea kama kawaida
ReplyDeleteMdau wa Mbezi beach ungepiga simu kitengo cha Emergency hapo Tanesco Mikocheni uripoti hiyo hali, nina amini kutakua na tatizo kubwa sana maana siku 5 mfululizo umeme haujakatika!!!
ReplyDeleteHaa haa, mdau you made my day!
ReplyDeleteAcheni hizo huna kazi ya kufanya??
ReplyDeleteThanks mtoa maada umenisawazishia siku yangu kwa kicheko!
ReplyDeleteAhahahahah, hilo tatizo siyo dogo mdau wa Mbezi Beach, hili lina hadhi ya kufikishwa Bungeni, maana kama mtu wa kukata umeme eneo la Mbezi anaumwa, hawawezi kupata msaidizi mara moja?
ReplyDeleteMdau Degelavita, Bergen, Norway.
Namshukuru sana mdau na watoa comment maana mmeifanya siku yangu kuwa ya furaha natumaini kicheko cha leo kimeniongezea siku za kuishi.
ReplyDeleteDah watu wanaongea kiswahili kibovu humu ndani. Ajabu mtu akikosea kuongea lugha ya kigeni wanamjia juu.
ReplyDeleteSasa "maada" inahusiana na nini na hii habari?
**Jamani tukipe kiswahili kipaumbele ndiyo LUGHA yetu... Thanks.
Mdau asante kwa uchunguzi wako huo, na pole maana kwa siku tano umekuwa ukifuatilia tu kutokatika kwa umeme. Natumai umeme utaendelea kuwaka mbezi mpaka mvua zitakaponyesha tena.
ReplyDeleteLa msingi naomba tuende tukafanye kazi tu. KWANI KILA KITU KINAWEZEKANA.
Mdau Tabata SEGEREA
duh !mdau kweli u made my day!xso xso xso!
ReplyDeleteNimesikia! Nitawafikia! Mimi ndo mzima switch ya umeme wa Mbezi, ntakata umeme sehemu hiyo kwa wiki mbili mfululizo kufidia siku zote 5 mlizokuwa na umeme.
ReplyDeleteShukuran kwa kunifahamisha kupitia blog ya jamii, taarifa sasa ipo kwenye desk langu na nitaishughulikia as soon as posible. Mbezi beach kwanza tuna ugomvi nao kwa miaka miwili sasa, tunatakiwa tukate umeme kwa miezi kama 12 mbaka waanze kutumia vibatari, kwa tatizo kama hili lilitokea kwa upato wa umeme siku tano mfululizo linatokana na mashine mpya ya kukatia umeme inayoitwa "bunsen burner" na kishikizo chake kinachoitwa aparatus, ni kwamba engineer wetu alifanya makosa ndo maana mmepata umeme siku zote hizo. Nitalishughulikia hili swala immediately hivyo mtaanza kukosa umeme kuanzia jioni hii na mambo yatarudi kama kawa.
ReplyDeleteAsante sana kwa kutujulisha,
Wenu Meneja Mkuu TANESIKO.
si unyamaze tu, mtakatiwa siku 10 mfululizo kilipizia ohooo
ReplyDeleteJamani upendeleo huu mpaka lini? Sasabu wanakaa wazito ndio wapewe umeme kwa siku zote hizo, chondechonde angalieni tusije geuka kuwa Mbwa mwitu.
ReplyDeleteAliyepangwiwa kukata umeme wa mbezi yupo msibani kwa wiki mbili, mpaka atakaporudi.
ReplyDeleteUtawala-Tanesco