Wachezaji wa Simba SC Bungeni Dodoma leo na Ngao yao ya Jamii waliyoishinda kwa kuifunga Yanga bao 2-0 katika mchezo wa kufungua pazia wa ligi kuu ya Vodacom
 Ngao ya Jamii  iking'ara mjengoni
 Ankal ndani....dah!
 Wachezaji na maafisa 
 Felix Sunzu (kulia) na afisa wa Simba
 Kocha wa makipa Iddi Pazi 'Faza' akiwa mjengoni na vijana
 Nahodha Juma Kaseja akiwa kashikilia Ngao ya Jamii  mjengoni
 Simba wakitoka mjengoni wakiwa wamezongwa na mashabiki wao
 Picha ya Pamoja na waheshimiwa
 Furaha tupu Bungeni Dodoma leo
Waziri wa Ardhia Profesa Anna Tibaijuka na Mbunge wa Tabora ambaye pia ni Mwenyekiti wa Simba Mh Ismail Aden Rage wakipozi na 'watoto'

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 12 mpaka sasa

  1. Nitoe ufafanuzi kidogo, hapa suala kubwa sio aina ya zawadi bali ni kumpiga Yanga goli 2-0. Kwa mtazamo huo huo wao walikwenda bungeni kwa ushindi wa 1-0

    ReplyDelete
  2. Huruma, mwe! Ngao ya Jamii! Sasa tutakuwa tunaona Kombe la Mbuzi, kuku nk yakiingia Bungeni..Kaazi kwelikweli!

    ReplyDelete
  3. Simba oyeeee! Mzee Sitta oyeee! Kabwe oyee!!! Rage oyeee! Mdee oyee! Msimbazi wa Msimbazi.

    ReplyDelete
  4. hata haijanogaaaaaaaa yaani wamelilia kwenda kama watoto yatima bwana angalia nyuso zao wadogo kama piriton. hamjapendeza wala kuvutia. haijanoga kabisaaaaaaaaaaaaaaa. raha kualikwa na sio kuomba kualikwa!!! aggggggggghhhhhhhhhhh

    ReplyDelete
  5. sisi wabongo kweli bado washamba na hatujaendelea,sasa maana ya simba bungeni nini kwa kushinda community shield?mbona huku hatuoni man united kuitwa bungeni wakishinda community shield hata champion league,ingekuwa simba wameshinda club bingwa wa africa kidogo ningeelewa,acheni ushamba huo hiyo sio timu ya taifa

    ReplyDelete
  6. naomba kuuliza bungeni kuna nini , kwa wachezaji kualikwa naona sasa imekuwa kama tradition ,kuna faida gani? naomba ufafanuzi waungwana.

    ReplyDelete
  7. Hongera kwa kuwanyamazisha pale Jangwani na kutwaa ngao.
    Ni macho yangu au?mbona nywele za wachezaji wetu kama zipo kiaina vile au ndio mambo ya wave?si unajua tena wengine sisi washamba hatujui hizo staili.

    ReplyDelete
  8. ankali naomba uangalie mambo ya msingi ya kutuwekea. matatizo ni mengi sana tanzania, na yanahitajika kutatuliwa... kama waheshimiwa wamehishiwa hoja za kuzijadiri bungeni. ni bora bunge lifungwe. nawasitafuta mambo ya kuyaongelea bungeni yasiyokuwa namaana kabisa.

    ReplyDelete
  9. Kumbe mjomba michuzi weye simba damu damu haa siji humu wiki nzima sasa

    ReplyDelete
  10. Simba Hovyoooo! Bungeni ndio kuna nini hadi mpeleke hiyo ngao? Hayo yatakuwa matatizo ya Rage. Kwa vile Yanga walikwenda basi na ninyi mkataka kwenda. Uswahili wa huyo aliyewashawishi muende.

    ReplyDelete
  11. halafu mbona wako wachafu namna hiyo. unakwenda bungeni huchani hata nywele?

    ReplyDelete
  12. mi i dont care nani kaenda bungeni maana hapa nchi hatuna mambo ni mengi ya kutatua ila sasa hatuna muda nayo hayo ndio maisha yetu ya mtanzania ila timu zetu nanyi mbadilike pateni mfano kwa ankal dressing code ni kitu cha msingi sana wapi upo na uvae nini please mi ni hilo tu

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...