Wachezaji wa Simba SC Bungeni Dodoma leo na Ngao yao ya Jamii waliyoishinda kwa kuifunga Yanga bao 2-0 katika mchezo wa kufungua pazia wa ligi kuu ya Vodacom
Ngao ya Jamii iking'ara mjengoni
Ankal ndani....dah!
Wachezaji na maafisa
Felix Sunzu (kulia) na afisa wa Simba
Kocha wa makipa Iddi Pazi 'Faza' akiwa mjengoni na vijana
Nahodha Juma Kaseja akiwa kashikilia Ngao ya Jamii mjengoni
Simba wakitoka mjengoni wakiwa wamezongwa na mashabiki wao
Picha ya Pamoja na waheshimiwa
Furaha tupu Bungeni Dodoma leo
Waziri wa Ardhia Profesa Anna Tibaijuka na Mbunge wa Tabora ambaye pia ni Mwenyekiti wa Simba Mh Ismail Aden Rage wakipozi na 'watoto'
Nitoe ufafanuzi kidogo, hapa suala kubwa sio aina ya zawadi bali ni kumpiga Yanga goli 2-0. Kwa mtazamo huo huo wao walikwenda bungeni kwa ushindi wa 1-0
ReplyDeleteHuruma, mwe! Ngao ya Jamii! Sasa tutakuwa tunaona Kombe la Mbuzi, kuku nk yakiingia Bungeni..Kaazi kwelikweli!
ReplyDeleteSimba oyeeee! Mzee Sitta oyeee! Kabwe oyee!!! Rage oyeee! Mdee oyee! Msimbazi wa Msimbazi.
ReplyDeletehata haijanogaaaaaaaa yaani wamelilia kwenda kama watoto yatima bwana angalia nyuso zao wadogo kama piriton. hamjapendeza wala kuvutia. haijanoga kabisaaaaaaaaaaaaaaa. raha kualikwa na sio kuomba kualikwa!!! aggggggggghhhhhhhhhhh
ReplyDeletesisi wabongo kweli bado washamba na hatujaendelea,sasa maana ya simba bungeni nini kwa kushinda community shield?mbona huku hatuoni man united kuitwa bungeni wakishinda community shield hata champion league,ingekuwa simba wameshinda club bingwa wa africa kidogo ningeelewa,acheni ushamba huo hiyo sio timu ya taifa
ReplyDeletenaomba kuuliza bungeni kuna nini , kwa wachezaji kualikwa naona sasa imekuwa kama tradition ,kuna faida gani? naomba ufafanuzi waungwana.
ReplyDeleteHongera kwa kuwanyamazisha pale Jangwani na kutwaa ngao.
ReplyDeleteNi macho yangu au?mbona nywele za wachezaji wetu kama zipo kiaina vile au ndio mambo ya wave?si unajua tena wengine sisi washamba hatujui hizo staili.
ankali naomba uangalie mambo ya msingi ya kutuwekea. matatizo ni mengi sana tanzania, na yanahitajika kutatuliwa... kama waheshimiwa wamehishiwa hoja za kuzijadiri bungeni. ni bora bunge lifungwe. nawasitafuta mambo ya kuyaongelea bungeni yasiyokuwa namaana kabisa.
ReplyDeleteKumbe mjomba michuzi weye simba damu damu haa siji humu wiki nzima sasa
ReplyDeleteSimba Hovyoooo! Bungeni ndio kuna nini hadi mpeleke hiyo ngao? Hayo yatakuwa matatizo ya Rage. Kwa vile Yanga walikwenda basi na ninyi mkataka kwenda. Uswahili wa huyo aliyewashawishi muende.
ReplyDeletehalafu mbona wako wachafu namna hiyo. unakwenda bungeni huchani hata nywele?
ReplyDeletemi i dont care nani kaenda bungeni maana hapa nchi hatuna mambo ni mengi ya kutatua ila sasa hatuna muda nayo hayo ndio maisha yetu ya mtanzania ila timu zetu nanyi mbadilike pateni mfano kwa ankal dressing code ni kitu cha msingi sana wapi upo na uvae nini please mi ni hilo tu
ReplyDelete