Taswira ya karibu inayoonesha Soko la Mwanjelwa jijini Mbeya linalojenwga upya baada ya kuteketea kwa moto miaka ya hivi karibuni
Hizi ni taswira mbali mbali zinazo onesha jinsi ujenzi wa soko kuu la Mwanjelwa jijini Mbeya ulivyosimama. Ujenzi ulianza kwa kasi lakini kwa sasa hakuna kinacho endelea. Miezi kadhaa iliyo pita jengo hilo lilibomoka wakati wanaendelea na ujenzi. Tutaendelea kuwafahamisha zaidi juu ya swala hili
HUU NDIO UBUNIFU WA DARAJA LA JUU KWA WATEMBEA KWA MIGUU WA JIJI LA MBEYA ENEO LA MWANJELWA MIAKA MIWILI IJAYO KAMA ULIVYOBUNIWA NA TAASISI YA SAYANSI NA TEKNOLOJIA MBEYA.
Picha zote na-Mbeya yetu Blog



Kujenga juu kivuko cha miguu sio kazi au gharama kiivyo, ukilinganisha na ujenzi wa soko. Tatizo, je watu watapita juu ya hicho kivuko, au itakuwa ni sehemu ya watu kushangaa magari kama ilivyo kwa manzese?
ReplyDeletehaya sasa ahhh!!1111 sisi tunataka kijana mwenzetu mvuta bangi mwenzetu sasa yuko wapi sugu hiol linatokea mbele yake alikua anawaimba wengine kama hawawezi sasa mbona na yeye kashindwa kaproject kadogo tu kama hako shem on yu sugu
ReplyDelete