Home
Unlabelled
WADAU WA BLOGU YA JAMII,USO KWA USO NA ANKAL,MANHATTAN,NY
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Dan Ebra inaonekana maisha magumu sana huko NY. Mpaka inabidi kuvaa suruali mararu(iliyochanika). Bora maisha ya huku bongo tunamiliki walau mitumba.
ReplyDeleteMithupu acha kuhangaika na kamera jiripue!!
ReplyDeleteTatizo lenu watanzania washamba upeo wenu mfupi, tembeeni muone sio kujifungia tu bongo na ulimbwekuni wenu. hii fashion. Ndio maana mnapelekwapelekwa tu hapo bongo.Nyauu!!!!!
ReplyDeletewewe anonymous wa kwanza acha ushamba hiyo jeans ndo fashion yake sio viraka wabongo bwana kama hujui uliza sema wivu unakusumbua.......hujui jeans za ukweli ww wewe nunua mdosho hapo karikooo...
ReplyDeleteMDAU NORWAY
Duh kweli bwana!!!
ReplyDeleteBora walioko Bongo na wote wenye ndoto za kwenda huko waone ukweli wenyewe kwa macho. Bongo poa bwana!!