Kutoka shoto ni Didi Vava,Ankal na Ebra NY wakipata Ukodak moment katikati ya Manhattan,New York,Nchini Marekani
 Ankal(shoto) akizungumuza jambo na Ebra NY wakati walipokutana katikati ya Manhattan,New York,Nchini Marekani

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. Dan Ebra inaonekana maisha magumu sana huko NY. Mpaka inabidi kuvaa suruali mararu(iliyochanika). Bora maisha ya huku bongo tunamiliki walau mitumba.

    ReplyDelete
  2. Mithupu acha kuhangaika na kamera jiripue!!

    ReplyDelete
  3. Tatizo lenu watanzania washamba upeo wenu mfupi, tembeeni muone sio kujifungia tu bongo na ulimbwekuni wenu. hii fashion. Ndio maana mnapelekwapelekwa tu hapo bongo.Nyauu!!!!!

    ReplyDelete
  4. wewe anonymous wa kwanza acha ushamba hiyo jeans ndo fashion yake sio viraka wabongo bwana kama hujui uliza sema wivu unakusumbua.......hujui jeans za ukweli ww wewe nunua mdosho hapo karikooo...
    MDAU NORWAY

    ReplyDelete
  5. Duh kweli bwana!!!
    Bora walioko Bongo na wote wenye ndoto za kwenda huko waone ukweli wenyewe kwa macho. Bongo poa bwana!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...