The Libyan Embassy in Dar es salaam yesterday aplogized and removed the flag it hosited last week of the National Transition Council of Libya after the Ministry of Foreign Affairs and international Co-operation gave them a 48-hour Ultimatum. (picture by ASSAH MWAMBENE).

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 8 mpaka sasa

  1. waooooo so????? to which country does this buildings now belongs???? please help make my geography and history update........

    ReplyDelete
  2. Hiyo ina afadhali kidogo kuliko kupandisha bendera ya NTC wakati mambo bado hayajapitishwa rasmi. Kwa sheria za kimataifa huwezi ukapandisha bendera mpya tu kiholela wakati serikali ya mpito haijapitisha rasmi. Kimataifa bado kadaffi alikuwa anatambulika mpaka hapo nchi watakapopata kisheria utambulisho wa serikali mpya na mabadiliko yaliyotokea.

    ReplyDelete
  3. Kwa hiyo wa-Bongo mnachagulia nchi zenye ubalozi hapo TZ waweke bendera gani? Mtabaaaanaaa weeee baadaye mtaachia tu. Wenye dunia wameshaikubali NTC, nyie mtakataliwa wapi? Gadafi ndo bye bye tena. Africa si mnaogopa ya Libya yasiweke precidency yakawafikia na nyie!

    ReplyDelete
  4. Afrika tuungane jamani. Huu unyonge mpaka lini?

    ReplyDelete
  5. Uhusiano wa kimataifa unaundwa na hao hao na waovunja sheria ni hao hao. Leo Tanzania mnajigamba ngojeeni visima vya mafuta vifunguliwe halafu mseme vya kwenu. Oneni Nigeria inavyotii amri, kama hamkuvaa sarawanda kama Gaddafi na Saddam Hussein. Mmemwona Lenhardt alivyoteremsha kikosi alichokikataa Nyerere cha Peace Corps.

    ReplyDelete
  6. Nonsense;
    Anayetoa ultimatum hana kauli za kidiplomasia; anadhani siasa ni ubabe kama anavyowaendesha watanzania hapo.Mawaziri wetu hawana kauli kwa kweli.Hayo ni maamuzi ya walibya; wana haki ya kufanya watakavyo.Kama hawaitambui bendera ya NTC basi na huyo mwakilishi anawakilisha nini hapo?Si aondolewe basi hadi hapo kutakapokuwa na utawala ulioimarika?Hakuna point hapa.Libya sasa hivi hakuna serikali;kuna baraza la serikali ya mpito;na limeshatambuliwa na Urusi;Uk;Ufaransa;US,na mataifa mengine mengi; ndio maana hata vikao vya mataifa makubwa wanakaa na kuijadili libya ya sasa; siyo LIBYA ILIYOKUWA IKIIPA TZ BENZI ZA BURE TOKA KWA GADAFFI ENZI HIZO;kwa ajili ya maslahi fulani.Mlishapata state cars;sasa waachieni walibya waendeshe nchi yao!

    ReplyDelete
  7. Ni waafrika gani waungane? Viongozi au wananchi? Wananchi wa Libya wameamua kuchukua madaraka kutoka kwa Gaddaffi ambaye alijinyakulia madaraka kupitia njia ya mapinduzi. Wananchi wa Libya wamechoshwa na utawala wake na wameamua kumuondoa. Huo ndio uamuzi wao. Waafrika lazima tuamke, tuache kudanganywa na viongozi kandamizi, wanahujumu mali ya umma, wenye hulka ya usultani, eti kwa sababu sisi ni Waafrika, tuungane!! Ingekuwa hivyo basi tungeungana na Idd Amini, Bokassa na wengine wengi ambao waliondolewa madarakani. Hili liwe fundisho kwa viongozi sampuli ya Gaddaffi. Wananchi wakikuchoka, watakuondoa tu, hata uwe na majeshi, FFU, CIA, FBI, etc etc haitasaidia. Dawa yake ni kudumisha utawala bora, demokrasia na haki za binadamu. Hapo watakuwa salama.

    ReplyDelete
  8. Blah blah kibaoooooo, we can only pray for the country and our continent as a whole..........Devine intervention, THATS ALL!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...