Home
Unlabelled
THE LIBYAN EMBASSY IN TANZANIA WITHOUT FLAG
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
waooooo so????? to which country does this buildings now belongs???? please help make my geography and history update........
ReplyDeleteHiyo ina afadhali kidogo kuliko kupandisha bendera ya NTC wakati mambo bado hayajapitishwa rasmi. Kwa sheria za kimataifa huwezi ukapandisha bendera mpya tu kiholela wakati serikali ya mpito haijapitisha rasmi. Kimataifa bado kadaffi alikuwa anatambulika mpaka hapo nchi watakapopata kisheria utambulisho wa serikali mpya na mabadiliko yaliyotokea.
ReplyDeleteKwa hiyo wa-Bongo mnachagulia nchi zenye ubalozi hapo TZ waweke bendera gani? Mtabaaaanaaa weeee baadaye mtaachia tu. Wenye dunia wameshaikubali NTC, nyie mtakataliwa wapi? Gadafi ndo bye bye tena. Africa si mnaogopa ya Libya yasiweke precidency yakawafikia na nyie!
ReplyDeleteAfrika tuungane jamani. Huu unyonge mpaka lini?
ReplyDeleteUhusiano wa kimataifa unaundwa na hao hao na waovunja sheria ni hao hao. Leo Tanzania mnajigamba ngojeeni visima vya mafuta vifunguliwe halafu mseme vya kwenu. Oneni Nigeria inavyotii amri, kama hamkuvaa sarawanda kama Gaddafi na Saddam Hussein. Mmemwona Lenhardt alivyoteremsha kikosi alichokikataa Nyerere cha Peace Corps.
ReplyDeleteNonsense;
ReplyDeleteAnayetoa ultimatum hana kauli za kidiplomasia; anadhani siasa ni ubabe kama anavyowaendesha watanzania hapo.Mawaziri wetu hawana kauli kwa kweli.Hayo ni maamuzi ya walibya; wana haki ya kufanya watakavyo.Kama hawaitambui bendera ya NTC basi na huyo mwakilishi anawakilisha nini hapo?Si aondolewe basi hadi hapo kutakapokuwa na utawala ulioimarika?Hakuna point hapa.Libya sasa hivi hakuna serikali;kuna baraza la serikali ya mpito;na limeshatambuliwa na Urusi;Uk;Ufaransa;US,na mataifa mengine mengi; ndio maana hata vikao vya mataifa makubwa wanakaa na kuijadili libya ya sasa; siyo LIBYA ILIYOKUWA IKIIPA TZ BENZI ZA BURE TOKA KWA GADAFFI ENZI HIZO;kwa ajili ya maslahi fulani.Mlishapata state cars;sasa waachieni walibya waendeshe nchi yao!
Ni waafrika gani waungane? Viongozi au wananchi? Wananchi wa Libya wameamua kuchukua madaraka kutoka kwa Gaddaffi ambaye alijinyakulia madaraka kupitia njia ya mapinduzi. Wananchi wa Libya wamechoshwa na utawala wake na wameamua kumuondoa. Huo ndio uamuzi wao. Waafrika lazima tuamke, tuache kudanganywa na viongozi kandamizi, wanahujumu mali ya umma, wenye hulka ya usultani, eti kwa sababu sisi ni Waafrika, tuungane!! Ingekuwa hivyo basi tungeungana na Idd Amini, Bokassa na wengine wengi ambao waliondolewa madarakani. Hili liwe fundisho kwa viongozi sampuli ya Gaddaffi. Wananchi wakikuchoka, watakuondoa tu, hata uwe na majeshi, FFU, CIA, FBI, etc etc haitasaidia. Dawa yake ni kudumisha utawala bora, demokrasia na haki za binadamu. Hapo watakuwa salama.
ReplyDeleteBlah blah kibaoooooo, we can only pray for the country and our continent as a whole..........Devine intervention, THATS ALL!!
ReplyDelete