Salam,
URBAN PULSE CREATIVE Inakuletea matukio katika show ya TMK iliyofanyika london, Ilford ukumbi wa Empire Suite Jumamosi tarehe 3 septemba 2011. Asanteni,
URBAN PULSE CREATIVE wakishirikiana na MISS JESTINA BLOG
 makamuzi ya nguvu kutoka tmk yakiendela
 Temba akifanya vitu vyake
 chege akipandisha mzuka
 kutoka kushoto Muddy,dj ritchie, Kova Jnr na Dj rule
 TMK wakila pozi na fan wao baada ya makamuzi
Miss Jestina(katikati) akila pozi na wadau waliokuja kwenye show ya TMK
Dj  Ritchie kutoka Bongo Dj akifanya makamuzi


Now we goin Hard..OH YEH..!  This Sat 10th Sept 2011 
       BONGODEEJAYS PRESENTS  END OF SUMMER STYLE BASH..!!

                                 FEATURING

THE EAST AFRICA'S FINEST ARTIST'S TMK CHEGE & TEMBA  BACK 2 BACK ON STAGE...performing featuring the best hits tracks and classics like....

TMK {CHEGE & TEMBA}






Kama ni Gangstar---- http://youtu.be/fWe_RYY9Mns

PLUS MILLIONS MORE 

So make sure your there and tel a friend to tel a friend..Sat 10th sept 2011 All roads lead to Face Bar Reading rg1 7je see you there...../

Also party continue with best tunes

R&B || HIP HOP || BASHMENT || AFRO BEAT || OLD AND NEW SKOOL JAMS AND YOUR SEXY SLOW JAMS |

★★★★★★★★★★★★★★★★★★★★★★★★★★★★★★

NON-STOP THUMPING MUSIC UNLEASHED BY YOUR FAVOURITE DJz


♫♫ DJ RICH DEE ★★★★★
-------------------------------------------


Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Mbona hakuna picha hata moja ya kuonyesha mashabiki? au wanapigiaga nyumbani kwa watu??

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...