Home
Unlabelled
nani hawa na ni mwaka gani?
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
simba sports club enzi za mwalimu!
ReplyDeleteenzi hizo za mzee mzima mchonga meno, cha zaidi sijui
ReplyDeleteNI AFRICAN SPORT.WAKIWA UWANJA WA TAIFA.
ReplyDeleteALLAN
Hii Young Africans ya miaka ya mwanzo ya 1980 kabla haijagawanyika na kuundwa Pan African waliosimama kuna Juma Pondamali, Adolf Rishard, Kapera, Kassim matitu na golikipa wa pili Muhiddin. Waliokaa katikati kabisa ni Kitwana Manara, watatu wa mwisho kulia ni Dilunga, Abdulrahman Juma na Kitenge
ReplyDeletecoastal union hao
ReplyDeleteHii ni Pan African 1978
ReplyDeletewako
james
Hao ni Yanga mwaka 1975 na kikosi hicho ndicho kilichochukua ubingwa wa Africa mashariki chini ya kocha Tambwe Leya.
ReplyDeletemdau Mc-Omoro UK.
Kwa kumsaidia mdau hapo juu aliyesema Kassim Matitu ni kumfahamisha tu kuwa Matitu hakuchezea Yanga bali alichezea Pan African. na kama nitakumbuka vizuri kikosi hicho kuanzia kushoto waliosimama.
ReplyDelete1.Boi Wilkens 2.Juma Pondamali 3.? 4.Adolph Richard 5.Adam Juma 6.Omar Kapera 7.Jaffar Abdulrahman 8.Mohamed Mkweche 9.Muhiddin.
waliokaa kuanzia kushoto 1.Gordian Mapango 2.Mayaula 3.Mohamed Tostao 4.Kitwana Manara 5. Leonard Chitete 6.Kassim Manara 7.AbdulrahmanJuma 8.? kocha alikuwa Tambwe Leya na waliokosekana hapo ni Gibson Sembuli,Sunday Manara ,Bona Max, baada ya hapomuda si mrefu wengi wao walihama na kujiunga na Pan African.
Mc-Omoro UK
toka shoto
ReplyDeleteBoi Wickens, Ponda, pass,pass, Adam Juma,Kapera,pass, Mkweche, Muhidin Fadhili
Walioketi
Pass,pass,pass,pass,Kitwana,Kitenge,pass, Abdulrahman Juma,pass
small simba
ReplyDeleteHiyo ilikuwa Mwaka 1975. Waliosimama toka kushoto: Boi Iddi 'Wickens', Juma Pondamali 'Mensah', Zitto Kiaratu, Muhammed Rishard 'Adolph', Adam Juma, Omar 'Mwamba' Kapera, Jaffar Abdurahman, Mohammed Hashim 'Mkweche'na Muhidini Fadhili. Waliokaa kutoka kushoto: Gordian Mapango, Fred Mayaula Mayaoni, Mohammed Yahya 'Tostao', Kitwana Ramadhani Manara 'Poppat', Leonard Chitete, Kassim Ramadhan Manara, Adurahman Jumma (Captain) na Muhaji Mukhi.
ReplyDeleteKibosho shouting star
ReplyDelete