Home
Unlabelled
ni nani kama 'golden boy' zamoyoni mogella?
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
ZIDANE WA TANZANIA
ReplyDeleteMalota Soma "Ball juggler" anaonekana kwa mbali akiangalia kinachojiri toka kwa golden boy...
ReplyDeletekwa mbali namuona mallota soma ball juggler!!!!!!
ReplyDeleteHiyo picho niliwahi kuiona kwenye Gazeti la Uhuru miaka hiyo(Picha na Mwalimu Omar,Muhidin Michuzi,Madanga S.Madanga n.k) lakini sasa nimeiangalia vizuri huyo mbona huyo Muhidin michuzi kavaa safari boot na hana soksi kama za Bana,halafu kule kwenye Background wachezaji wengine wapinzani wa Yanga hawana soksi kama za Mogella,Tshirt ya Mogella ina puma wale wengine naona li-duara jeupe.What is going on here?Photo 7?
ReplyDeleteDavid V
Hivi Mogella bado yupo jamani? sikuwahi kukutana naye ila nilimsikiliza sana redioni. Kweli alikuwa analitandika. na Method Mogella je? yuko wapi.
ReplyDeleteMpira zamani ulipendeza, na uwanja wa taifa ulikuwa unajaa sijawahi ona
Uzuri wa mogela ni umahiri wake uwanjani na tabia yake nje ya uwanja wa soka. Ni mfano wa kuigwa.
ReplyDeletenilichogundua ni kuwa jezi ya Zamoyoni ilikuwa tofauti na wenzake. hebu angalia vizuri.
ReplyDeleteHapo kati ni Muhidin Cheupe or?
ReplyDeleteYANGA TULIFANYA KOSA KUBWA KUMDHARAU MOGELA,ZAMOYONI ALICHEZEA YANGA KABLA YA SIMBA,KWENYE FAINALI YA KOMBE LA MWENGE WILAYA YA ILALAUWANJA WA KAUNDA YANGA B NA CONGO UNITED(SHETANI WEKUNDU) ZILTINGA FAINALI ZILITOKA SARE MARA 2,MCHEZO WA TATU MOGELA ALIKUJA KUWATEMBELEA HASHIM KAMBI NA FADHILI RASHIDI WACHEZAJI WA YANGA,KAMA MCHEZAJI MWALIKA WA YANGA B YANGA TULISHINDA 3-1 BAO ZOTE ALIPIGA MTALAMU HUYO GOLDEN BOY.WAKATI HUO SIMBA ILIKUWA INAMFUKUZIA MALOTA SOMA.HATA HIVYO MOGELA KWA MAPENZI YAKE ALIMALIZIA KIPAJI CHAKE YANGA.MPAKA SASA BADO TAIFA HATUJAPATA WA KUVAA VIATU VYAKE.
ReplyDeletehuo ndio mpira sio huu wa sasa wa chips yai unaona wazee walivyoshiba hata asukumwe vipi aendi chini,
ReplyDelete