Wadau wakiangalia bidhaa katika duka la Samsung ndani ya supermarket ya Uchumi katika Quality Centre barabara ya Nyerere Road jijini Dar es salaam. Duka hilo kubwa, ambalo limeleta ushindani wa uhakika kwa maduka yanayodengua kutoa huduma kwa weledi, liko wazi masaa 24 na wanauza karibu kila kitu kinachohitajika na jamii.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. Kudadadeki ndo mtatia akili sasa, bado NAKUMAT waje wawafunze kutoa huduma na vijiduka mbuzi vyenu, ati supermarket! Wakati huduma kwa wateja ziro? Zaja hypermarkets kama za Naii sasa... Isti Afrika ya Mashariki oyeee! Mtakula sukumawiki kwa mrija kudadadeki!

    ReplyDelete
  2. Nimeipenda "wanaodengua". Safi sana tunataka ushindani. Maana kuna maduka fudenge yani hata kupiga picha ni kosa la jinai. Nilitembelea center fulani maarufu hapo dar (siitaji Michuzi asije akabana lakini nadhani mmeshaijua) na wanangu last year nikasema nichukue camera yangu niwapige picha watoto. Askari kanifata eti ni mpaka nikaombe kibali kwa uongoze wa hilo eneo. Nilishangaa sana maana nimekaa nchi mbali mbali sijawahi sikia eneo la public ni marufuku kupiga picha. Nikasema anyway kibongobongo. Yaani watakoma na huduma zao mbovu

    ReplyDelete
  3. Manji hoyeee!!

    ReplyDelete
  4. mbali, daladala ya gongo la Mboto mhhhhhh. Huku gari tu. Manji manji Wa mbili wa mbili tu mtapiga kelele mpaka mtachoka. A good example yule Kohn wa IMF si mnaona alivyotoka kiulaini pamoja na kuwa ushahidi wa kurape upo. Aliyekuwa nacho ataongezewa vitabu vinasema.

    ReplyDelete
  5. 'barabara ya nyerere road'

    ReplyDelete
  6. Hizo ndo NEWZ sasa, maana kha! nilikuwa nawaza itakuwa lini Bongo maana huku nairobi na kampala supermarkets any time asubuhi asubuhi, usiku wa manane yaani utakapojisikia wewe........thanks 4 coming, bado Nakumatt since si wenyewe vmetushinda acha wakeiii wajimwage ndo EAC, Mungu ibariki!!

    ReplyDelete
  7. safi sana. Bring competetion to the tz. There is opportunity even in region, come and invest uchumi . There are other 4 potential region apart from dar. Thumb up uchumi!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...