Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais,Eng. Ngosi Mwihava akisalimiana na Mshauri Muelekezi Taasisi ya{IUCU}Bw Francois Rogers Mara Baada ya Kufungua Warsha ya Mkakati wa Mabadiliko ya Tabianchi na Jinsia.kulia ni Msaidizi Mshauri Mwelekezi {IUCU} Bi Lorena Aguilar.Warsha Imefanyika kwenye Hotel ya JB jengo la Benjamin Mkapa Mjini Dar es Salaam.
Baadhi ya Washiriki wa Warsha ya Mkakati wa Mabadiliko ya Tabianchi na Jinsia wakimsikiliza Mgeni Rasmini Naibu katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Eng Ngosi Mwihava {pichani hayupo}Warsha iliyofanyika Jengo la Benjamini Mkapa kwenye Hotel ya JB.{Picha na Ali Meja}
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...