NDUGU ZANGU ,WADAU WENZANGU,
NINAYOFURAHA SANA KWANI MJESHI WETU AMEPIGA HATUA KATIKA ULIMWENGU WA MPIRA WA MIGUU.AMEWEZA KUSAINI MKATABA NA MOJA YA TIMU KUBWA NCHINI SWEDEN.
MJESHI WETU HUYO AITWAYE ADAM KASA ANA UMRI WA MIAKA 18 ,AMESAINI MKATABA NA TIMU INAITWA DJURGÃ…RDEN.KWA HABARI ZAIDI JUU YA USAJILI HUO BOFFYA HAPA NA UTAPATA HABARI ZA KIJANA WETU ADAM KASA.NAOMBA HABARI HIZO ZIWAFIKIE WADAU WOTE WA GLOBU YA JAMII.
ADAM KASA AKISAINI MKATABA.
AKIWA KATIKA MAZOEZI.





Kila la kheri Adam!
ReplyDeleteDogo hongera saana. Tafadhali jitahidi kimazoezi usiwe kama kina Ngassa na Lunyamila walioshindwa hata ligi za kifala za marekani na Venezuela wakati TZ wanaonekana mastaa. Uchawi na kipaji haviingiliani, utatamba nyumbani egenini unaonekana fala tu.
ReplyDelete