Mkurugenzi wa Masoko na Utafiti wa benki ya CRDB, Mkurugenzi wa Masoko na Utafiti wa Benki ya CRDB, Tully Mwambapa (kulia) akikabidhi mchango wa sh milioni 2 kwa mkuu wa shule ya Msingi ya wasichana ya St. Aloyius, Sista Reena Mathias kwa ajili ya kusaidia maendeleo ya shule hiyo wakati wa mahafali ya kwanza ya darasa la saba yaliyofanyika shuleni hapo Mbezi Beach jijini Dar es Salaam.

Mkurugenzi wa Masoko na Utafiti wa benki ya CRDB, Mkurugenzi wa Masoko na Utafiti wa Benki ya CRDB, Tully Mwambapa akishukuriwa na  mkuu wa shule ya Msingi ya wasichana ya St. Aloyius, Sista Reena Mathias kwa ajili ya kusaidia maendeleo ya shule hiyo wakati wa mahafali ya kwanza ya darasa la saba yaliyofanyika shuleni hapo Mbezi Beach jijini Dar es Salaam.
 Juu na chini ni wanafunzi wa shule ya awali wakiimba nyimbo za kuwaaga wahitimu wa darasa la saba


Mkurugenzi wa Masoko na Utafiti wa benki ya CRDB, Mkurugenzi wa Masoko na Utafiti wa Benki ya CRDB, Tully Mwambapa, akicheza jive na wahitimu wa darasa la saba chuoni hapo

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...