Nimependeza, sijapendezaaaa??? Ankal anahoji wadau alipotinga Salnder Bridge Club na kuwaringishia wana Njenje shati lake jipya alilobuniwa na designer Francisca Shirima wa Frankoo Designs.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. HONGERA ANKAL MICHUZI UNANIKUMBUSHA ENZI YA AKINA CHARLES NJONJO WA KENYA ALIKUWA AKIAGIZA SUTI YA THREE PIECE YENYE MAJINA YAKE KUANZIA KOTI SURUWALI HADI KIZUBAO, INATIA RAHA KWA KUJITHAMINI KAMA HIVYO HONGERA SANA Mdau Richie wa ughaibuni

    ReplyDelete
  2. Ankal kweli nimekukubali!!

    ReplyDelete
  3. Kama Mubarak vile http://boingboing.net/2011/03/04/mubaraks-custom-pins.html

    Mzozaji.

    ReplyDelete
  4. Kaka,

    Sasa mbona yule "MDAU" mwingine unamrifaa tu kama Mdau, mara Mdau mwingine. Si umtambulishe tu kuwa ndio MAI WIFE WAKO kwa sasa jamani?

    Nimekustukia

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...