Home
Unlabelled
diamond alipomvisha pete ya uchumba wema sepetu
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Hongera Diamond na Wema!
ReplyDeleteHii habari ishakua zilipendwa.
ReplyDeletediamond! ita mausatdh ASAP wakuhalalishie mtoto ujifaidie bro! ... ila wema denda lake limekwenda shule
ReplyDeleteMzalishe huyo haraja labda ndo atatulia. Ukizubaa utaachwa na pete yako.
ReplyDeletehongereni sana na msisikilize maneno ya watu
ReplyDeleteSichafui hali ya hewa ankal ila nina maoni kwa Miss Zamaradi jinsi anavyoendesha interviews zake. Ni show nzuri na anajitahidi ila kuna aina ya maswali anayoyauliza ni "very embarassing" sijui hapo kwa kiswahili tutaliweka hilo neno vipi. Kama ingekuwa anafanya hizi interviews kwenye nchi zilizoendelea kwanza hii show ingefungwa kwani angekuwa na lawsuite nyingi na interviewers wengi wangekuwa wana walk away. Nikupe mfano wa maswali ambayo hukupaswa kuyauliza ni kama ulivyomuuliza mmoja ya watu uliyekuwa unamahojiano naye simtaji jina kwamba " Nisehemu gani ya mwili wako unayoipenda" Waooo hili ni swali la nguoni na hata mwenyewe alijisikia vibaya sana alijibu tu kwa vile alikuwa anahojiwa kwenye TV lakini kwa ujumla she was so embarrased na hilo swali na hata mimi binafsi nilisema like whaat!!!! Uwe makini sana unapouliza maswali na yawe yamesoma, maswali mengine ni too personal. Na swala lingine nimeliona ni luck of privacy kwa mfano kuna celebrity mmoja amejifungua mtoto kisha unawakaribisha watu kwenye National TV na ulimwengu wote kwamba watu waende kumsalimia, hapo unauweka usalama wake matatani utambue kwamba yeye ni celebrity na sio kila mtu anapaswa kujua kwamba anaishi wapi. Na vilevile aina ya maswali uliyokuwa unayauliza yalikuwa too personal na confidential, hatukupaswa kujua kwamba alijifungua kwa njia gani na procedure nzima ya kujifungua watu hawapaswi kujua kwani ni medical records zimekuwa exposed kwani lolote likitokea tayari kuna ushahidi na madaktari wataingia matatizoni. Kwa watanzania nafikiria tunachukulia haya maswala kama kitu cha kawaida lakini kwa ukweli ni kwamba ni violation of privacy and confidentiality. Kwa leo ninakupa haya machache na nimeona mambo mengi sana itachukua muda mrefu kuyajadili. Ila kwa ushauri wangu pia inabidi ukaongeze madarasa ya journerlism na iwe nje ya nchi hasa kwa nchi zilizoendelea. Nitawasiliana na wewe ili nikupe recomendations ya vyuo gani vizuri katika maswala ya habari. Asante ni mimi mdau katika kuelimishana.
ReplyDeleteMdau USA. Thank you miss Zamaradi.
tia ndani mtoto then jenga maisha ndugu yangu...wekeza kwenye elimu pia ig up dogo
ReplyDeleteMDAU NORWAY...
kila jambo hupangwa na Mungu hivyo msisikilize ya watu mwombeni Mungu naye atawapa jibu sahihi. sio rahisi mtu kufahamu tabia ya mtu akiwa mbali bali akiwa naye ndani ndo anaweza kujua vizuri zaidi. unaweza mfikiria wema ni mbaya kumbe hakuna msichana mzuri kama yeye. vile hujaishi naye. Hongereni wachumba
ReplyDelete