Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. michu michu michuzi big up man, hii imetulia kilaini ngoma hii thanks man kwa kutuwekea imenikuna kishenzi na najiuliza je kweli mtu unaweza kupata katika karne hii mpenzi wa aina hii kweli yupo kama yupo jamani jitokeze uwe wangu. mdau london

    ReplyDelete
  2. nice tune man!

    ReplyDelete
  3. Oya hii ngoma nikali sana Imenibamba mbaya... sasa tulioko nje ya border tunapata vp mzigo huu maana. Hili ngoma nai feel mbaya.

    Tupe majibu asee kupitia michuzi blog.....

    ReplyDelete
  4. Kimoja tu kimeniudhi. Kuweka vuvuzela yenye bendera ya Afrika Kusini.

    UZALENDO JAMANI!!

    ReplyDelete
  5. jamani huu wimbo sichoki kuusikiliza yaani ni mzuri sijawahi ona kweli tz kila leo wanatokea wakali wa nyimbo zinazogusa hisia za mwanadamu yaani sijawahi kupenda wimbo kama huu na mzuri sana ila kitu kimoja video haindani kabisa na huu wimbo kama anaweza kurekebisha ashuti video ingine big up sumalee kazi nzuri sana imetulia haina majoriti ubarikiwe kwakutukonga nyayo zetu

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...