Nimependeza, sijapendezaaaa??? Ankal anahoji wadau alipotinga Salnder Bridge Club na kuwaringishia wana Njenje shati lake jipya alilobuniwa na designer Francisca Shirima wa Frankoo Designs.
Home
Unlabelled
Just in: Ankal apata shati jipya, aliringishia viota vyote vya maraha Dar
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
HONGERA ANKAL MICHUZI UNANIKUMBUSHA ENZI YA AKINA CHARLES NJONJO WA KENYA ALIKUWA AKIAGIZA SUTI YA THREE PIECE YENYE MAJINA YAKE KUANZIA KOTI SURUWALI HADI KIZUBAO, INATIA RAHA KWA KUJITHAMINI KAMA HIVYO HONGERA SANA Mdau Richie wa ughaibuni
ReplyDeleteAnkal kweli nimekukubali!!
ReplyDeleteKama Mubarak vile http://boingboing.net/2011/03/04/mubaraks-custom-pins.html
ReplyDeleteMzozaji.
Kaka,
ReplyDeleteSasa mbona yule "MDAU" mwingine unamrifaa tu kama Mdau, mara Mdau mwingine. Si umtambulishe tu kuwa ndio MAI WIFE WAKO kwa sasa jamani?
Nimekustukia