Tunaomba kuwajulisha wapenzi wa website yetu ya www.dullonet.com/ kuwa kuna matatizo ya kiufundi hivyo haipatikani hewani katika mfumo
uliozoeleka, lakini pia tunapenda kuwafahamisha kuwa wanaweza kupata
habari za michezo burudani na sanaa kutoka katika webpage yetu ya
www.dullonet.com/sports.

Zaidi tunapenda kuwaomba radhi kwa usumbufu uliojitokeza kutokana na
sababu zilizo nje ya uwezo wetu lakini tunaendelea kulishughulikia.

Kwa maoni na ushauri wasiliana nasi kwa info@dullonet.com

Asante

Web Admin.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...