Waamuzi wa ligi daraja la tatu Iringa
Mgeni rasmi akisalimiana na wachezaji leo 
Kikosi cha timu ya Magorofani ambacho leo kimetoa kipigo cha mabao 3-2 kwa Sengo Fc


Kikosi cha Sengo Fc ambacho kimeambulia kichapo cha mabao 3-2 leo


Katibu mkuu wa chama cha soka mkoa wa Iringa (IRFA) Eliud Mvella Wamahanji akifungua rasmi ligi ya Taifa ngazi ya wilaya kwa Manispaa ya Iringa leo katika uwanja wa Samora. Picha na mdau Francis Godwin

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...