Popote anapopita na ride yake ya nguvu, mwanamuziki wa African Beats na bingwa wa kupuliza saxphone Mafumu Bilali Bombenga amekuwa kivutio cha aina yake. Hapa ni katika viwanja vya Leaders club jijini Dar alipojumuika na wapenzi wa michezo na muziki kuburudika na Twanga Pepeta na kuangalia mechi ya soka
Hana wasiwasi
Duh, huyu jamaa lazima atakuwa Msukuma maana ndo zao hizi kurembesha baiskeli.
ReplyDeleteUtawala wa sheria.Yaani huyu bwana kisa ni mwanamuziki hivyo kwake RUKSA KUVUNJA sheria.Kuendesha pikipiki bila kofia ya usalama(helmet)..
ReplyDeletePolisi wakimuona hawamkamati.Kesho akionekana mtu mwingine bila helmet anakamatwa.
Bado tunasafari ndefu sana ktk hili la usalama wa barabara..Sheria zichukue mkondo wake bila kujali nani
Naona anazitangaza marekani na jamaica, tanzania je? any way kipenda roho, Amejitahidi kuiwekea nakshi ride yake, imependeza. Mbunifu wake nampongeza nahitaji kupata namba yake ya simu ili nami anipambie ya kwangu kwa kulitangaza jina la nchi yangu.Safi sana babaa bombenga!
ReplyDeleteNaona amevaa Element badala ya Helmet
ReplyDelete"hii yote niko sa la mama alimlaa mapwema"HAYA YAMO KWENYE SONGI LAKE maya JAMAA KAIMBA SANA HUMO SIKILIZA UTAPATA UJUMBE MZITO WA MAPENZI -BIG UP papaa mafumu
ReplyDelete